Manchester United (Red Devils) | Special Thread

wajinga ndio waliwao!' bayarn wamewauzia kibabu, mnataamba, wakat wenzenu bayarn sahivi wanakaribia kupata saini ya Vidal ............
 
Moyes alishindwa nini kusajili?
Pesa alipewa za kutosha, huo sio uzembe wa timu. Ni uzembe wake kushindwa kuwaleta hao.
Kila kocha ana msimamo wake na filosofia yake ya kuendesha timu cha muhimu ni kumsupport kocha wako. Anapokosea rekebisha na uweke mawazo yako.
Ila kusema LVG sio sawa kwa united unakosea na sio relevant kwasasa kwasababu ameshakuwa kocha you can do nothing about it.
Hata hao makocha unaosema waje united hawatafanya kile unachotegemea, na tactical team ya united wamekaa wakaona LVG anafaa ndo maana akaitwa. Asingefaa asingeitwa.
Kumbuka hata Fergie alipingwa kuliko hata huyo LVG. Na amewaprove wrong.
 
EPL haina ushindi wa bahati mkuu.
Timu inapiga mpira wanachukua ushindi wanasepa.
Liecester hawakuwa na bahati kutufunga 5-3 ila ni uzembe wa defence yetu ndo uliwapa wao ushindi.
 
Kabla hujamwambia afanye assessment ya LVG msimu huu aende akamfanyie wenger misimu 10 ilopita au Brendan misimu yake Liverpool.
Kifupi msimu huu ndo utaonesha uzuri na ubovu wa LVG.
 
wajinga ndio waliwao!' bayarn wamewauzia kibabu, mnataamba, wakat wenzenu bayarn sahivi wanakaribia kupata saini ya Vidal ............

Unaongea kama mlevi wa machicha.
 
Unaongea kama mlevi wa machicha.

kubalini!' mmeuziwa kibabu!' injury prone!' ............. hahahahaha!' watu wamechukua hela sahivi wanataka kununua Vidal tena kwa hela ndogo sawa na bure!' wakat Vidal aliikataa Manure kwa dau kubwa.
 
Hela sio tatizo Man United ,Ryan Giggs ana makombe mengi kuliko timu yako tangu ianzishwe
 
Hela sio tatizo Man United ,Ryan Giggs ana makombe mengi kuliko timu yako tangu ianzishwe

Hahaha hiki ndio kilichobaki siku hizi. Hakuna haja ya kuja na majibu kipoint
 
Hahaha hiki ndio kilichobaki siku hizi. Hakuna haja ya kuja na majibu kipoint

Kuna watu wana matatizo "Anasema tumeuziwa kibabu tena injury prone while Bayern wamemnnua Vidal kwa bei chee".Hajui kwamba Bastian ana miaka 30 Vidal ana 28,Bastian amenunuliwa pauni mil 14 while Vidal ananunuliwa kwa pauni mil 28 ni mara mbili ya aliyonunuliwa Bastian.Hazungumzii kina Salah,Cuadrado na Luis Felipe waliwanunua bei gani
 
Vidal mwenyewe in injury prone
 
EPL haina ushindi wa bahati mkuu.
Timu inapiga mpira wanachukua ushindi wanasepa.
Liecester hawakuwa na bahati kutufunga 5-3 ila ni uzembe wa defence yetu ndo uliwapa wao ushindi.

Upo sahihi mkuu ndo maana nimepinga kuita bahati,na kila timu ilifika sehemu stahili kutokana na kile ilichopanda.
 
kama haya maelezo yako ni ya kweli.....basi niko sahihi sana kuwasoma watu kama hao na kupuuza! sipotezi nguvu kuwajibu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…