Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Kuna wimbo wa dini unaitwa KIZUNGU ZUNGU KIMEWAPATA, sijui nani kaimba, Mikel obi, loftas cheek, Willian, osca, matic, fabregas, hazard, ramires, zouma, bado mlikua mnamtaka turan kabla hajawatosa, hao huwaoni ila mid za utd tu? Msimu ujao tunamechi nyingi tunahitaji rotation ya kikosi sio kama Chelsea hazard na Terry wanacheza msimu mzima, msimu uliopita tulikua na kikosi chembamba ndio maana mmoja akiumia tulikua tunahangaika sana, now we are back mnaanza kupatwa na kizunguzungu. Kocha alishajua sehemu za kuzifanyia marekebisho ndio anachokifanya sasa
#GGMU
 

Cheers
 
Anaweza kutumika namba 10 na ametumika msimu uliopita ameonesha mafanikio

Ila namba 10 sio striker! Bora utumie neno 'forward'

Nafikiri tuna offensive midfielder wengi sana
DiMaria,Mata,Young,Januzaj,Depay,Hererra,Fellaini,Perreira but inategemea na mfumo tutakaocheza nafikiri Depay atachezeshwa kama Striker na ingekuwa bora kama Januzaj angepelekwa kwa mkopo somewhere

All in all lazima aondoke mmoja au wawili katika hiyo current midfield yenu...

Wewe wasema sisi ndiye.....naona uajitahidi kuvaa mikoba ya Sheikh Yahaya.

Just being real!

Wakati wa Moyes, midfield ilikuwa tatizo kubwa sana.
Wakati wa LVG, strikers ni matatizo bado.
Kwa ule mpira tuliokuwa tunapossess msimu uliopita halafu tunashindwa kuscore magoli ya kutosha.
Unless rooney aje kuprove otherwise.

Na huu wa sasa ndo mtakuwa na possesion 80% afu hamna magoli! Hivi defence mmejipangaje? Valdes na De Gea wakinodoka wote itakuaje mangi?


KWa hiyo mmemnunua Shweinsteiger na Scheiderlin ili wacheze C1C? C'mon man! Kila mchezaji anataka kujihakikishia namba kwenye first 11 ya timu...na kwenye mechi kubwa. C1C ni for the youth na academy players sio ya Depay au di Maria.


Who is this? weka maelezo kwenye picha zako...


Mchezaji kucheza mechi moja msimu mzimu ndio lengo la mchezaji yeyote, majeruhi na kushuka kiwango ni matokeo tu ila hakuna anayeyapanga hayo. Its prestigious kwa mchezaji, kocha na timu kama mchezaji anaweza kumudu games nyingi bila maumivu au kuchoka.

Hata sisi kama akija mchezaji mpya midfield nakuhakikishia kuna mmoja aliyepo atakayeondoka!
 

Cc Paulo Sergio De Souz
 
Last edited by a moderator:

hicho ndio tunachokitaka, ushindani wa namba ukiwepo sizani kama kuna mchezaji atavurunda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…