Manchester United (Red Devils) | Special Thread



Yaani jamaa aache hii, akapande FastJet?

Hahahaha!!! Si umemsikia lakini kawaambia anasubiri presha ya Iker ipoe kaomba asinunuliwe mwingine mwezi wa 8 anatia timu....naona mnamvutia na Ukapteni msipopandisha mshahara ujue wetu huyo......mna pesa lakini wachungu kama nini shauri yenu msimu huu mtakosa tena...lol.
 
Simuoni hapa Di Maria na Rojo kulikoni!!!!........Naskia uvumi leo kwamba dili la ADM kwenda PSG limetiki? OMG staki kuamini......napenda nimuone tena ADM msimu huu.

Usiwe na wasiwasi everlenk hao walikuwepo kwenye Copa America hivyo hawakuwa na muda wa kupumzika. Sasa hivi wao ndo wanakula bata pia D7 ni majeruhi ndio maana hakucheza final game na timu yake ya Taifa.
️
 
Last edited by a moderator:
Usiwe na wasiwasi everlenk hao walikuwepo kwenye Copa America hivyo hawakuwa na muda wa kupumzika. Sasa hivi wao ndo wanakula bata pia D7 ni majeruhi ndio maana hakucheza final game na timu yake ya Taifa.
️

Afadhali maana nilikuwa nishaanza kukonda mwee!!!
 
Last edited by a moderator:


Yaani jamaa aache hii, akapande FastJet?

Hahaaaaa, baba hyo ni Mali ya umma, ye anataka yake na Madrid hamuwezi kumtimizia haja zake so mwacheni aje kwa the f**king boss Ed, naona enzi za galactico zimeanza kupotea, saiz mnang'ang'aniana wachezaji na utd, fastaaaaaaa mkampa kitambaa ili abadili mawazo huku marca wakipamba UNMARKETABLE afu chini tumaandishi tudogo "but he want to leave" hahaaaaa, kwann hata hayo he want to leave msiyakoleze wino
 






Hahaha, wacheni basi hizi habari za upotoshaji. Ramos was in line for the captaincy since the day he signed for RMA, + we are only following the tradition. Kama anataka kuondoka, leteni hela yetu, tuwape mtu wenu, si hatuna noma.





Is that the face of Man who wants to leave??
 

"No se han limado las
diferencias entre FLORENTINO y
SergioRamos . La foto del abrazo
fue difundida e interesada por el
Madrid.

" The differences between Florentino and
Ramos have not been softened . The
photo of the hug was interested/wished
and spread for Madrid" hahahaaa, mwaka huu mbona mnalo
 

If you're going to buy every bs that's thrown outthere, i advise you keep your receipts bro. Only time will tell.
 
If you're going to buy every bs that's thrown outthere, i advise you keep your receipts bro. Only time will tell.

Halafu nimesikia team imeenda tour bila goalkeeper, I wonder mnamuweka katika mazingira gani mzee wangu benitez, and the first game will be against as roma yakina Totti, Ljajic Florenzi OMG angalia msije mkafukuza benitez wakati wa tour maana espanyol nao wabishi kweli kumuachia kiko
 









 
wacheni basi hizi habari za upotoshaji. Ramos was in line for the captaincy since the day he signed for RMA, + we are only following the tradition. Kama anataka kuondoka, leteni hela yetu, tuwape mtu wenu, si hatuna noma
Paulo Sergio De Souz Ukitaka kula sharti nawe uliwe kidogo....JK....nyie mnamtaka DDG hamtaki kutoa hela ila sisi kwa Ramos tuwape big big money ahh wapi!! Subirini mjiokotee dodo mchangani tutakula loss lakini nanyi tumewachelesha kidogo....Jeuri ya pesa..😀😀😛
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…