wee kaa tayari kutuchukia tena si usubiri muda,halafu umefanana sana na Obama?ni nduguyo?Obama ni rafiki yangu sana
Man United's starting lineup if they sign all their transfer targets...

£13 Mill wanazotaka kutoa Madrid kumpata De Gea kweli ni thamani yake,na je Man U wataikubali hyo offer?
Kama walivyosema wadau...United is on the losing end. De Gea kabakiza mwaka mmoja kwenye mkataba; na kibaya zaidi yeye anataka kuondoka sasa. Kama United wakitilia ngumu sasa, ina maana mwakani ataondoka bure.
Hapa la msingi ni kuhakikisha Edo na timu yake wanacheza karata zao vizuri, ili deal liwe angalau win-win kwa wote.
Kama walivyosema wadau...United is on the losing end. De Gea kabakiza mwaka mmoja kwenye mkataba; na kibaya zaidi yeye anataka kuondoka sasa. Kama United wakitilia ngumu sasa, ina maana mwakani ataondoka bure.
Hapa la msingi ni kuhakikisha Edo na timu yake wanacheza karata zao vizuri, ili deal liwe angalau win-win kwa wote.
Man United's starting lineup if they sign all their transfer targets...
Nyingine hiyo
Kama walivyosema wadau...United is on the losing end. De Gea kabakiza mwaka mmoja kwenye mkataba; na kibaya zaidi yeye anataka kuondoka sasa. Kama United wakitilia ngumu sasa, ina maana mwakani ataondoka bure.
Hapa la msingi ni kuhakikisha Edo na timu yake wanacheza karata zao vizuri, ili deal liwe angalau win-win kwa wote.
Mwaka huu nataka niwe active supporter wa man u.