Nimesoma sehemu kuwa kesho fixtures zinatoka. Tukae mkao wa kula...
Niliangalia highlights ya hiyo game Park Ji Sung na Paul Scholes wanaweza kuchezea kikosi cha Man United cha sasa
Niliangalia highlights ya hiyo game Park Ji Sung na Paul Scholes wanaweza kuchezea kikosi cha Man United cha sasa
kesho saa 5 asubuh
manutd last 5 matches of 2015/16 season
Astonvilla H
Westham A
Leicester city H
Norwich A
bournmouth H
Mwaka huu tusipochukua kombe basi tutakuwa na gundu la hatari...
Hii fixture itatufavor sana kwenye mashindano mengine nje ya EPL kama FA, UCL...
KEY GAMES
Liverpool 12 sept (H), 16 january (A)
Arsenal 3 oct (A), 27 feb (H)
Man city 24 oct (H), 19 march (A)
Chelsea 28 december (H), 6 february (A)
Ni ratiba nzuri lakini lazima tusajili wachezaji watatu watakaoingia kikosi cha kwanza moja kwa moja kusaidia kuziba mapengo ya Valensia,Carrick,mlinzi wa kati na mshambuliaji mmoja.