marouane fellaini has been injured (groin) in belgium training he will miss the game vs wales on friday.
get well soon big fella
Hahahaha!! Ila fans wa LFC mnajua kuvumilia tolerance limit yenu iko juu imezidi 100% kama ni uvumilivu wa ndoa mwauweza, sikutegemea mpaka sasa BR aendelee kushikilia makashabra ya Anfield ingelikuwa OT fans wake kungechafuka vibaya sana siku nyingi angebebeshwa virago vyake.
LVG msimu huu wa 2015/16 mtamfukuza tu maana hawapi chochote cha maana[/QU
Hahah kama yule kocha wenu mnaomlalamikia kila siku
miaka yake mitatu ikiisha he might extend united contract endelea kuweweseka tu
Van Gaal might extend United contract - Official Manchester United Website
LVG msimu huu wa 2015/16 mtamfukuza tu maana hawapi chochote cha maana
LVG msimu huu wa 2015/16 mtamfukuza tu maana hawapi chochote cha maana