#TeamWakaangaSumu
We jamaa nakufananisha na mtoto ambaye anapenda kwenda kushinda nyumba ya jirani hadi anapasahau kwao. Unapenda sana kuwa united ndo maana upo huku muda wote.

Hivi upande wa pili kuna sport ladies?
Wapo kibao tu!
Mimi ni jogoo kila nikiona mitetea nakuja kuipa ubuyu! We si unaona mitetea inavyofurahi?
Hivi upande wa pili kuna sport ladies?
Negotiation btn RMD and Manutd for de gea are in the final stages,
RMD will pay euro 25mill + euro 5mill in add-ons. [MARCA]
Nampenda de gea wish angebaki he is best of the best

Kwa hiyo wamekubali kumwachia?
something lyk dat, mwache aondoke tu katusaidia sana msimu huu lakn ili mradi ye kataka kuondoka mwache aende ile ndio madrid kosa moja out, ataikumbuka ot
something lyk dat, mwache aondoke tu katusaidia sana msimu huu lakn ili mradi ye kataka kuondoka mwache aende ile ndio madrid kosa moja out, ataikumbuka ot
Negotiation btn RMD and Manutd for de gea are in the final stages,
RMD will pay euro 25mill + euro 5mill in add-ons. [MARCA]
Vipi yule wa beki wa barca una taarifa zake nilisikia anakuja man u..