Kutoka katika vilindi vya moyo wangu huyu dogo simtaki kabisa aaa yaani kwa mfano ikitokea akaja huku yaani maisha yangu kwa United sijui yatakuwaje!!!
Mamy everlenk mambo? Nimekumisi sana.
Leo siku ya michepuko on sport.
Juve vs barca... umejipangajeeee...
Mimi mchepuko wangu juve nauamini sana. Leo lazma mkae
Last edited by a moderator: