Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kanda Bongo man alikuwa anatesa kimuziki Afrika kwa miondoko ya kwassa kwassa. Ndio kilichobaki anga hizi.

kila mtu na staili yake ya maisha, nyie Arsenal mmeamua kuishi bila CHAMPIONS LEAGUE sisi tumeamua kuishi na living history, we got something for the next generation
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Nzi
Kanda Bongo man alikuwa anatesa kimuziki Afrika kwa miondoko ya kwassa kwassa. Ndio kilichobaki anga hizi.

But still kwasa kwasa ikipigwa watu wanaburudika na wanajimwaga kweli kweli........ Acha uwivu wewe hujawahi hata kupata hicho kitu roho inakuuma!!!! FA ndo size yenu........naona ushaanza ndoto zenu eti next season for EPL na UCL nimeingiza ile post kwenye hansard kwa matumizi ya baadaye.
 
kila mtu na staili yake ya maisha, nyie Arsenal mmeamua kuishi bila CHAMPIONS LEAGUE sisi tumeamua kuishi na living history, we got something for the next generation

Mkuu hatujaamua kuishi bila CL bahati haijatuangukia kama nyie Liverpool na Chelsea (mlibeba UCL kindondokela hivi karibuni). Anyway, naona mnasubiri kujua nani mtacheza naye katika kwalifikesheni ya UCL miezi michache ijayo. Kwa list iliyotoka jana naona mnaweza kupata kibarua kigumu kurudi UCL.
 
hata tusipo qualify kucheza CL haina shida maana najua hamna timu toka epl yenye uwezo wa kubeba CL kwa sasa, we got nothing to loose
 
Van Persie: "The World Cup hit me hard, I wasn't as sharp as usual at the beginning of the season. That was difficult

 
Van Persie: "I must evaluate the situation (his future), the club is doing that as well. I must consider what I really want

 

......loading.....
 
Ankle surgery has ruled Manchester United's Antonio Valencia out of Ecuador's campaign at the Copa América

 
Tom Cleverley is set to join Everton this week on a free transfer. He'll sign a 5-year deal. [Source: The Times]

 
LvG ask real madrid to include K. Navas in de gea deal. [MARCA]
 
sio GARETH BALE???!! huyu LVG vipi?!!

bale kuja ni ngumu sana mkuu yupo kwenye mipango ya benitez, katika magolikipa ambao sijawah kuwapenda ni huyu navas na valdes (yes valdes huyu huyu wetu) na kama kweli atakuja nitashindwa kabisa kumwelewa van gaal, kuna makipa wengi na wazuri wanatamani kuja ot, loris anasubiri simu tu ipigwe yupo tayari ku make deal hata leo usiku, leno (leverkusen) ni makipa wanaoweza kutusaidia lakn sio navas wala valdes
 

yule dogo Lindgaard mbona mzuri tu.....akipewa nafasi atakuwa kama DDG.
 
Andreas pereira scoring the winner today as Brazil qualifies for the WC U20's round of 16.
huyu dogo apewe muda na timu kubwa he'll show us something gud
 
Wameshatumikaaa weweee aargh....
 
Belo atasononeka kama hii ni kweli
Hahahhahahahhahahaa
Nashangaa Wenger anamuachia Everton wanamchukua free.Everton ni tawi letu lingine tuliwapa kina Daron Gibson,Phil Neville ,Tim Howard
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…