Congratulations!!! £150Millions imewapatia 4th spot title. Next transfer window mkitumia £150 Million nyingine mtaweza kutetea 4th spot title next season. Hull City wanawapeleka puta hapa wakati huo huo Walcott kashatupia hat trick.
Nyie mmetumia £ mil ngapi kuanzia 2004,kutetea ubingwa wenu?
mda mwngne unapita kama huwaoni vile, wamesahau kuwa wana miaka zaid ya kumi bila epl waulize wametumia shingapi, na management ilitaka timu iingie top four na suala la trophy ilikua ni baadaye
Mmesahau kuwa mna miaka zaidi ya kumi bila FA CUP? Mnataka tuwakumbushe? Inaelekea strategy zetu za kutumia pesa chache katika transfer so long tunahakikisha tunamaliza top four zinafanya linalotakiwa au sio? Next season mtatumia at least £ 60M nyingine kununua magarasa mengine. Hadi sasa mmeshatumia £ ngapi vile kwa DEPAY?
Mmesahau kuwa mna miaka zaidi ya kumi bila FA CUP? Mnataka tuwakumbushe? Inaelekea strategy zetu za kutumia pesa chache katika transfer so long tunahakikisha tunamaliza top four zinafanya linalotakiwa au sio? Next season mtatumia at least 60M nyingine kununua magarasa mengine. Hadi sasa mmeshatumia ngapi vile kwa DEPAY?
HullCity jitahidini mwenzenu Newcastle keshapata 1.
25, within hyo miaka kumi tuna uefa na epl 5, hvi nyie mna nini?
Hivi Fa nalo kombe kwako? hahhaahhahhhaaaa kilaza gani kama wew unafurahia timu yako kushika ka kombe ka kunywea uji? hivi mara ya mwisho kushinda UEFA ni mwaka gani ati?
Hivi Fa nalo kombe kwako? hahhaahhahhhaaaa kilaza gani kama wew unafurahia timu yako kushika ka kombe ka kunywea uji? hivi mara ya mwisho kushinda UEFA ni mwaka gani ati?
hahahahaaa, hawa jamaa wananifurahisha walikaa miaka 9 wanajiandaa kubeba FA[/QUOT cha kushangaza The invisible hawana hata Uefa? maneno mengi bora kubishana na shabiki wa liverpool sio hawa Arse8
Maneno ya mkosaji hayo. Hujui umuhimu wa FA CUP sio? utakuwa umeanza kufuatilia mpira wa nje jana jana wala sio juzi juzi. Tangu tukate ngebe za "how long since Arsenal lifted a trophy"? Mmekuja na wimbo mwingine wa FA CUP sio Kombe hahaha. Next season tutakata ngebe na kulift Premier League then muanze kulidharau nalo.. Naona Manywele Fellaini karambishwa kadi nyekundu hapa.
25, within hyo miaka kumi tuna uefa na epl 5, hvi nyie mna nini?
hahahahaaa, hawa jamaa wananifurahisha walikaa miaka 9 wanajiandaa kubeba FA
Siku hizi mmekuwa kama mabaharia au Wauza unga wa zamani. "Enzi zetu/zangu, enzi zetu" mtazowea tu.
Juzi niliona unashangilia kombe la PL U-21 hapa, vipi hili nalo ni kombe la kushangilia mbele ya kadamnasi?

DonDonald naona agent wenu Steve Bruce anazamisha timu nyingine. Sijui safari hii mtampa timu gani?
please LVG mtoe rojo muingie bracket