Khedira hatufai kwa sasa tangu alivyoumia amekuwa spana mkononi,Evra aliongezewa mkataba lakini yeye mwenyewe aliamua kuondoka,alitaka kupata new challenge.Wachezaji waliondoka msimu uliopita (Vidic,Rio,Kagawa,Flecher,Butner,Chicharito,Wellbeck,Evra) Evra ndio amefanya vizuri kwenye klabu aliyoenda hao wengine wote wamechemka
(net inasumbua)Khedira ni kabila gani naanza kuwaogopa waspain sasa....lol.......atacopy na philosophy ya LVG au yale yale ya kina ADM na Falcao?
Mhh!! Evra sikumbuki Transfer yake ilikuwaje
(net inasumbua)Khedira ni kabila gani naanza kuwaogopa waspain sasa....lol.......atacopy na philosophy ya LVG au yale yale ya kina ADM na Falcao?
Mhh!! Evra sikumbuki Transfer yake ilikuwaje
Okay hakuna mbaya! Mimi sasa naona ziiiiiiiiiiiiiiiiiiii:what::sly:
Nalala mie! Usiku mwema wajameni?
Mlale unono muote msimu ujao mmechukua EPL na uefa! Mawiiiiiiii Nzi si atatuuwa na kelele zake kha!
Bby huyo Khedira kwetu hana namba Kina Shaw, Blind na Rojo washajaza nafasi yake.
everlenk nanukuu...Bby huyo Khedira kwetu hana namba Kina Shaw, Blind na Rojo washajaza nafasi yake.[/QUOTE
Mhh! Khedira shughuli yake Ni kubwa aisee, hyo rojo na shaw c Ni upande wa kushoto, yy Ni holding midfielder yenye roho mbaya ya kijeruman asiyechoka, akija kusaidiana na carrick, akapatikana na gundogun, yan tutachukua ligi mzunguko wa kwanza, mzunguko wa pili tunahamia Spain au German na kwenyew tunaenda kuchukua ligi yan
"....yy Ni holding midfielder yenye roho mbaya ya kijeruman asiyechoka," mwisho wa kunukuu..
unamlinganisha vipi mjerumani mwanaume.. na hao wavulana akina urojo..