Manchester United (Red Devils) | Special Thread

 

Hahahaaa kazi ipo...mimi mchepuko wangu ni juve daaaahhhhhhh.....afu juve nampenda yaan sasa sijui itakuwaje akikutana na mchepuko wako
 
Naomba niseme tu: Hongereni sana kwa jana.

Mtazamo wangu: Mna kikosi kitamu sana yana. Nawaza kama msimu ujao kina Shaw-Blind-Rojo-Herrera-Mata-Fellaini-Young wakicheza kama walivyocheza jana, pale kati hakuna mtu wa kuwazingua.

Yani mnatakiwa tu mtafute tena striker mzuri na kipa then mtakuwa poa sana!!!
 

thanks joh, kuna watu still hawataki ku appriciate
 

Kwa Mara ya kwanza umetufagilia Mentor mwaaaaaaa!!!!
 
Last edited by a moderator:
thanks joh, kuna watu still hawataki ku appriciate

Atakayekataa kuwa jana hamkucheza vizuri atakuwa Wacha 1 peke yake! Which makes me think, au ni kwa sababu Arsenal walicheza so shitty jana????

Kwa Mara ya kwanza umetufagilia Mentor mwaaaaaaa!!!!

For real (ukimtoa Shaw ambaye jana hakucheza) niliangalia walivyokuwa wanaflow mpira kutoka nyuma kwenda Mbele pale nikavutiwa sana. Hata jinsi walivyokuwa waki-defend, so lovely. Kwa mara ya kwanza jana nlimuona Mata akirudi nyuma na kupanda so smoothly tena alifanya blocks bila kucheza rafu!

Of course kulikuwa na flaws kwa Smalling-jones partnership na kule mbele palikuwa butu sana! With Rooney still going next season anahitajika striker mwingine wa kuwa anamsaidia. Of course hapo kwa makipa - ingawa huwa mnakuwaga na ngekewa ya makipa wazuri - ndo najua msimu ujao sisi mahasimu wenu tutakapowafaidi.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha!! Kazi ipo Juve namlike na ni best yangu but Barcelona namlove mwee!!!

Na mimi namkubali sana mesi bila kumsahau neymer...ila sasa nilishindwa kuwafanya michepuko maana ni matawi sana na ndo maana nilitamani final wacheze na real ila imeshindikana....
Acha nijiandae kupokea kombe Italy...
Hahahaaaaa sipati picha utakavyonunaaaaa
 

Siamini kama ni wew umeandika hii msg.....
Asante sana mkuu
 

Hugo Lloris anakuja kuziba pengo
 
Last edited by a moderator:

Dah!!! Ndugu yangu tutakosana sababu ya michepuko ntakununia kweli ila sababu Juve ni best yang ntakusamehe ila tuache michepuko turudi njia kuu......lol..... Msimu ujao tutakavyokuwa wakali haki ya nani michepuko tutaisahau kabisaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…