Wacha weeeee mshukuruni Brackett leo ningekupoteza maana naskia ulikuwa ushakata tamaa umeenda kununua kamba kwa jiran, ila kwa game ya leo tulistahili kushinda mlizidiwa kabisa.
Hahahaha!!! Umetisha mumy,next twende tukaziprint na hizo... ...lol
Ila sio mbayaa mamy
Mamy hawa walikuwa wetu inaniuma sana......... Samahani nilikukimbia kidogo nilienda kumwangalia mchepuko wangu kule Spain ametangaza ubingwa leo yaani amenipa raha mpaka nimemsamehe Brackett.
Nimshukuru Blankett kwa lipi? Hii ni mara ya kwanza kutokea ati deflected goal kutoka kwa defender mnaita own goal upuuzi mtupu, inaonyesha jinsi mashabiki #Mburukenge wasioangalia mpira na kazi yao kubwa ni unazi tu. Watch the game and comment fairly. Manure mlicheza kipindi cha kwanza kwa kasi na kubebwa na refa wenu wa siku zote. Gunners wakaamua liwalo na liwe wakaanza kutandaza kandanda ya uhakika toa Carzola na Belerin ingiza Jack na Theo mkawa mnahema hovyo Ramsey kampiga kanzu Degea na kutaka kuweka chuma wavuni mkaponea tundu la sindano ikabidi Gea aondoke maana ile kanzu haikuwa nchezo, ndio kuaga kwake aliona bora aondoke bila nuksi. Mnabakia wazee wa historia tu chacha chubirini huyu refa MD akiondoka ndio imetoka hiyo. khe khe kjhe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Ding ... Dong.
Endeleeni kujifariji, last match tuliwakung'uta hapo hapo Old Trashford na hivi tinachubiri kutwaa FA Cup kwa mara ya pili mfululizo .. .. .you will like Gunners Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Ding ... Dong!
BTW jipangeni upya na majina mapya kama kina Eqllypsssssssssssssssss et al msimu ujao maana nafahamu mnaona soni kubebwa na mbeleko.[/QUO
kilichofanya asifunge baada ya kumpiga kanzu ni nini?? kwanza unajua maana ya kanzu wewe??? ramsey angeupata ule mpira ndio ingehesabika kanzu sio unaongea utumbo utumbo hapa, hivi unakumbuka mara ya mwisho arsenal kumfunga man utd ot KWENYE LIGI ilikua lini??? unamkumbuka hata aliyefunga lile goli?? kipindi hicho nipo form two hatimaye namaliza semester yangu ya 8 bado mnahangaika kutafuta ushindi OT,
cheki usivyo na aibu we jamaa, mmeshamaliza decade saizi hamjainua ligi unafurahia FA CUP napo baada ya kukaa miaka 9 bila trophy, inamaana miaka yote hyo mlikua mnajiandaa kubeba FA?? shame!!!!! badala ya kuwaza kubeba angalau uefa unahangaika na FA au wenzetu sio rizikiiiiiiiii??????
Wacha urongo wewe !!!! Man U abebwe kwa lipi labda? Loh! Tungelikuwa tunabebwa nadhani ubingwa ungekuwa wetu!! Kama kubebwa ni rahisi kiasi hicho bebweni na nyie basi tuwaone mkiwa mabingwa wa EPL na UEFA, FA ndo saizi yako baba jivunieni kwa hilo maana mngeshindwa na hilo kombe sijui mngekuwa ni timu ya aina gani isiyo na matunda yoyote kwa misimu mingi........ Na usipoangalia Villa anakutoa nishai khe khe khe khe eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeNimshukuru Blankett kwa lipi? Hii ni mara ya kwanza kutokea ati deflected goal kutoka kwa defender mnaita own goal upuuzi mtupu, inaonyesha jinsi mashabiki #Mburukenge wasioangalia mpira na kazi yao kubwa ni unazi tu. Watch the game and comment fairly. Manure mlicheza kipindi cha kwanza kwa kasi na kubebwa na refa wenu wa siku zote. Gunners wakaamua liwalo na liwe wakaanza kutandaza kandanda ya uhakika toa Carzola na Belerin ingiza Jack na Theo mkawa mnahema hovyo Ramsey kampiga kanzu Degea na kutaka kuweka chuma wavuni mkaponea tundu la sindano ikabidi Gea aondoke maana ile kanzu haikuwa nchezo, ndio kuaga kwake aliona bora aondoke bila nuksi. Mnabakia wazee wa historia tu chacha chubirini huyu refa MD akiondoka ndio imetoka hiyo. khe khe kjhe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Ding ... Dong.
Endeleeni kujifariji, last match tuliwakung'uta hapo hapo Old Trashford na hivi tinachubiri kutwaa FA Cup kwa mara ya pili mfululizo .. .. .you will like Gunners Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Ding ... Dong!
BTW jipangeni upya na majina mapya kama kina Eqllypsssssssssssssssss et al msimu ujao maana nafahamu mnaona soni kubebwa na mbeleko.
Mchepuko wako ni barca?...de gea mamy anatukimbia... wew unaonaje?
They did not manage a shot of any description in the opening half, the first time that has happened since a game against Liverpool in 2004,Wacha urongo wewe !!!! Man U abebwe kwa lipi labda? Loh! Tungelikuwa tunabebwa nadhani ubingwa ungekuwa wetu!! Kama kubebwa ni rahisi kiasi hicho bebweni na nyie basi tuwaone mkiwa mabingwa wa EPL na UEFA, FA ndo saizi yako baba jivunieni kwa hilo maana mngeshindwa na hilo kombe sijui mngekuwa ni timu ya aina gani isiyo na matunda yoyote kwa misimu mingi........ Na usipoangalia Villa anakutoa nishai khe khe khe khe eeeeeeeeeeeeeeeeeeee
All the best Man u
Zile ndo ze best ulizowaombea sio? Hahahahhahah
Msimu ujao RvP, Blaket, falcao waondoke tu