Manchester United (Red Devils) | Special Thread

everlenk na ggmu fans Hongereni... huko mtakako anzia kabla ya kuja group stage kuweni waangalifu... msije mkashndwa kuja kule sisi #KTBFFH tutakoanzia

Nafasi ya pili,tatu,nne bado hazina mwenyewe, yeyote Kati ya united,city,arsenal anaweza kuangukia nafasi yoyote!

Usisahau Malafyale anaweza kupata nafasi ya nne! Miracles do happen! Ha ha ha ha ha ha ha ha ha....
 
Last edited by a moderator:
Kama
1.Chelsea angepoteza mechi tatu mfululizo arsenal au city wangempita!
2.Kama arsenal angepoteza mechi tatu mfululizo city na united wangempita

Man utd kapoteza mechi tatu mfululizo lakini Liverpool kashindwa kumpita man utd hii inaonyesha gap kubwa lililopo Kati ya Liverpool na man utd!!!!

Cc: Mentor Ntuzu Nzi Malafyale
 
Last edited by a moderator:

It is good kwamba unajua mtu wa kujilinganisha naye!!!

Ila hata sisi tunaweza kusema kama tungepoteza mechi tatu mfululizo kuanzia ile ya Liverpool bado tungekuwa mabingwa tu! HOW'S THAT!???
 
Ni kweli kaka RRONDO LFC ni majanga sn tena Zaidi ya sn! Haiwezekani timu inapoteza mechi 3 sawa na points 9 alafu timu ingine inashindwa kukaa juu. Ni aibu. Tena aibu kubwa. LFC na Brendan Rodgers ni janga kabisa Yule. Alichofanya kushindwa kuchukua kombe msimu uliopita kwa kushindwa kupita mbele kila Man City alipokua anaboronga ndio amefanya kwa ManU kashindwa kumpita.
 
Last edited by a moderator:
It is good kwamba unajua mtu wa kujilinganisha naye!!!

Ila hata sisi tunaweza kusema kama tungepoteza mechi tatu mfululizo kuanzia ile ya Liverpool bado tungekuwa mabingwa tu! HOW'S THAT!???

do u know what 'a dead rubber is'?
 
hongereni kwa kurudi big four mancunts...ila timu yenu inahitaji kujengwa zaidi..msije mkatuaibisha kwny UCL kwa kutolewa kwny ile preliminary stage...from arsenalfan
 
hongereni kwa kurudi big four mancunts...ila timu yenu inahitaji kujengwa zaidi..msije mkatuaibisha kwny UCL kwa kutolewa kwny ile preliminary stage...from arsenalfan

Aisee....mshabiki wa timu gani?! Arsenal.....ha ha ha has ha ha nyinyi so ndio mna 6 seasons hamjavuka last 16?! Au seasons tatu? Sikiliza wewe gooner Mara ya mwisho tumeshiriki ECL tulifika quarter finals,nyinyi as usual mliishia last 16, na mara ya mewisho hio ni timu mbovu ya Moyes!
 
km kawaida yenu kujiona wafalme..jitahidi uingie makundi ndo uje uniambie hizo porojo zako..itakuwa aibu kubwa ukimaliza nafas ya 4 afu ushindwe kuingia makundi UCL
 
km kawaida yenu kujiona wafalme..jitahidi uingie makundi ndo uje uniambie hizo porojo zako..itakuwa aibu kubwa ukimaliza nafas ya 4 afu ushindwe kuingia makundi UCL

Nafikiri tunapishana uwezo wa kuona! Maanake mpaka sasa hivi huoni kuwa wewe pia unaweza kumaliza NAFASI YAKO(natumaini utakuwa na uwezo wa kujua namaanisha mini)!!! Na sisi tukaingia kwenye makundi direct! Unajua maana ya mathematically possible?! Ukijua hilo huwezi kuandika ulichoandika!
 
vilevile una nafas ya kumaliza wa 4 pia possibility hiyo ni kubwa zaidi yangu mathematically
 
hongereni kwa kurudi big four mancunts...ila timu yenu inahitaji kujengwa zaidi..msije mkatuaibisha kwny UCL kwa kutolewa kwny ile preliminary stage...from arsenalfan

Man Utd inarudi UEFA kurudisha heshima ya EPL nyie wote mmetia aibu na tusingerudi mwakani England ingepunguziwa nafasi kutoa 4 hadi 3
 
Man Utd inarudi UEFA kurudisha heshima ya EPL nyie wote mmetia aibu na tusingerudi mwakani England ingepunguziwa nafasi kutoa 4 hadi 3

Evra hongera zake kwa kufanya maamuzi sahihi, atinga fainali UEFA

Poleni wapenzi wa Ronaldo, tukutane msimu ujao
 
Man Utd inarudi UEFA kurudisha heshima ya EPL nyie wote mmetia aibu na tusingerudi mwakani England ingepunguziwa nafasi kutoa 4 hadi 3

Heshima za kumaliza wa mwisho katika group sio? Haya tusubiri tuone hiyo heshima mnayojidanganya kuirudisha.
 
Heshima za kumaliza wa mwisho katika group sio? Haya tusubiri tuone hiyo heshima mnayojidanganya kuirudisha.

Heshima ya kushinda hilo kombe mara tatu! Mara ya mwisho hata mtoto wa miaka 10 ameshuhudia! Hivi pamoja na kushiriki kwenu mara zote hizo mmeshinda mara ngapi vile?!

Nendeni mkashindane na Tottenham au West Ham sisi tuachieni Chelsea,Liverpool au Nottingham Forest coz we have something in common!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…