Malafyale vipi nafasi ya nne mnaikamata link?! Au bado majogoo yanacheza 10 vs 11 ?! Timu yetu mbovu kuliko zote tulizokuwa nazo inashika nafasi ya nne siku ikiwa na afadhali tu tunachukua kombe!
Kazi unayo....!
Mimi au Wewe?
Nasikia na Man City are in the race for him...tena to make him the most highly paid!
OK wamsajili tu,mwisho wa siku mchezaji ndio anaamua wapi panamfaa.
everlenk, Nzi, DonDonald.. Ushindi wa kindondokela umewapa kelele leo. Last three weeks ilikuwa kimya sana. Hadi mnarisechi magazeti ya vijiweni. Next week ukimya utarudi hapa.
Let's be real...MONEY TALKS!!!
Not every language!
Tutaheshimiana hapa mjini subiri msimu ujao si mbali.
That was true way back during the times of our grandfathers!
Asante wangu.......kha!! Acha majungu weweeeee naomba upeleke salaam zao kwamba wasiyempenda kaja..........