Mkuu wangu watu wanasahau Man msimu huu ilikuwa inapigania kuingia top 4 msimu ujao ndio kazi inaanza.
I would rather like the game vs. Goons to be a decider for the sake of football
I would rather like the game vs. Goons to be a decider for the sake of football
Ktk timu ambayo ata Mimi km shabiki Wa Chelsea naona itatusumbua msimu ujao ni Man Utd kwasababu huu msimu LvG atakua kujifunza mengi kua ni wapi amekosea na wapi afanye marekebisho na pia ili kwenda sabamba na ligi na michezo yote afanye nini na nani anafaa kuongezwa ktk timu na nani auze...atakaposuka timu basi msimu ujao itakua moto sn.
Arsenal hawa hawatosumbua sn next season kwasababu Wenger hana mipango ya ushindani na kuchukua makombe yeye anaangalia sn swala la uchumi tu.
Man City km watamtoa Pereglline basi msimu ujao utakua mgumu sn kwasababu lazima watapitia kipindi cha mpito. Hawawezi kupata kocha mpya alafu aje achukue ndoo msimu huo huo ni nadra sn kutokea.
LFC ndio wana shida sn BR ameiharibu timu kabisa....
Kwahiyo Mkuu ni ManU tu ndio watatusumbua.
Mkuu wangu watu wanasahau Man msimu huu ilikuwa inapigania kuingia top 4 msimu ujao ndio kazi inaanza.
Nyie watu kwa kujisahaulisha siwawezi. Mlivyoshinda ICC (Pre-season) mlisema msimu huu wa LVG ni wa kubeba makombe EPL, FA CUP, CAPITAL ONE CUP sasa hivi mmebadilisha tune eti ulikuwa msimu wa kurudi UCL. Sizitaki mbivu hizi
Kuna malengo ya washabiki na malengo ya uongozi, alipokabidhiwa timu aliambiwa tunataka timu imalize msimu (14/15) ikiwa nafasi ya ngapi??
Rooney and carrik fit for westbrom?
"YET ANOTHER GOOD NEWS"
Dogo Andreas Pereira has signed a new contract at Manchester United which keeps him at the club until at least June 2018, with an option to extend for a further year.
Louis van Gaal said: "I am delighted that Andreas has signed a new contract. Andreas has all the attributes to become an integral part of the first team; great natural talent coupled with a good appetite to learn.
"I am pleased with his progression so far this season and look forward to working with him to develop his talent even further.
Andreas Pereira said: "I am pleased to have signed my new contract. I would like to thank the manager for giving me the opportunity to join the first-team squad. I made my Premier League debut against Tottenham Hotspur and to play at Old Trafford in front of so many fans was a dream come true.
"I am at the right club to continue my development as a player and to learn as much as I can. I want to thank my family and God for the opportunity he has given me."
Hizi ni habari njema, binafsi namkubali huyu dogo yuko vizuri,akinolewa fresh atakuwa jembe litakalotufaa......
Kweli kabisa, aendelee kujiongeza na kujihakikishia nafasi katika first eleven ninauhakika he is a next big thing. Kuna vilabu vilikuwa vinammezea mate baada ya kukiona kipaji hivyo naye na angetuacha kama alivyotuacha Pogba. Nimefurahishwa na uamuzi wake wa kuendelea kubaki...
Aliyebakia sasa ni De Gea ila pozi zake naona zimeanza kumshushia heshima klabuni na watu washaanza mtazama Llorris kama mbadala iwapo atatimkia Madrid
Hizi ni habari njema, binafsi namkubali huyu dogo yuko vizuri,akinolewa fresh atakuwa jembe litakalotufaa......
Endeleeni kupaparika tu ... .... chi mnafahamu unapomchinja kuku ukimwachia chacha ndio Manure hao khe khe khe khe khe khekheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Jamani mbona mnamtupa Januzaji chi mlichema ni top class? Tena nachikia Judas naye hamna hamu naye tena .... .. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kulikoni?