Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahahahaaa Mimi sina hela bhana. Mi mlagaluga tu...

Hakuna shida we tuma tu hiyo sample ya picha mi ntaprint kwa hiyo jezi........au km utashindwa ntadesigne Mwenye na itakua pouwa.
 
Last edited by a moderator:
... lakini una hela weweee au mlagaluga tu kama Mentor? Lol

Haaa my dear tumeanza kudharauliana namna hii!?? eight figures in a year si mchezo...na hapo sijataja za nje ya mshahara!

Soka mchezo wa ajabu inaweza kutokea....anaweza akawaotea tu wapi pamekaa vibaya wakamaliza ndo maana tunasema 90 kama siyo 93 mins zinaongea.

hata ziwe 100...Arsenal will never beat us...especially arsenal under Wenge!
 
Hahahahaaa Mimi sina hela bhana. Mi mlagaluga tu...

Hakuna shida we tuma tu hiyo sample ya picha mi ntaprint kwa hiyo jezi........au km utashindwa ntadesigne Mwenye na itakua pouwa.
Hahahaha!! Basi mema ya nchi yatakupita......

Hapana wewe utachakachua subiri mpaka nikupatie nyuma weka namba ya li hazard libayaaaaaa jina weka LVG......lol ,mbele hiyo picha itakuwa jezi ya karne hata ulaya hamna........ Halafu wewe una bahat kitu nilichokuwa nimekupangia acha tu!! Shukuru the Awesome God alikuwa upande wako.....lol
 
Haaa my dear tumeanza kudharauliana namna hii!?? eight figures in a year si mchezo...na hapo sijataja za nje ya mshahara!

hata ziwe 100...Arsenal will never beat us...especially arsenal under Wenge!

mmmh...naona mouthrinho anaambukiza mashabiki wake kale katabia kake
 
Hahahahaaa aya sports lady.....
 
Haaa my dear tumeanza kudharauliana namna hii!?? eight figures in a year si mchezo...na hapo sijataja za nje ya mshahara!

hata ziwe 100...Arsenal will never beat us...especially arsenal under Wenge!

Hahahahahahaha!! Sorry my dear ,hela hiyo huna ungana na mwenzio Ntuzu kukosa mema ya nchi........otherwise thibitisha.....halafu nimekumbuka bora hata Phil Jones ni handsome siyo wewe.. lol
 
Last edited by a moderator:
Ntuzu tumeshaweka mikakati na hakika utanyamazishwa bila kuamini.

Tunakuja kwako kuchezea mpira....na kwamwe hatutaruhusu Gunners wakae na mpira...

Eli79 usiogope uwe hodar tu hawa watapepetwa kama ngano...... Ukitii utakula mema ya nchi baraka hizi ziende nawe ......

Mamito umemsahau Mungu wangu tena?
 
Last edited by a moderator:
Tunakuja kwako kuchezea mpira....na kwamwe hatutaruhusu Gunners wakae na mpira...

Mamito umemsahau Mungu wangu tena?

Hahaha.. Ntuzu, habari ya kukaa na mpira usijaribu maana utaumia. Wewe leta wale mabeki wako watano watukabe maana vinginevyo huwezi kucheza na sisi mpira...
 
Last edited by a moderator:
Ntuzu, utachezesha Kurt, César, John, Branislav na Gary na wote ni mabeki. Hamuwezi kumiliki mpira vs arsenal, mnachofanya ni kuexploit weakness zetu vile tunakwenda mbele na kusahau beki.
 
Hatuwezi kuweka centre back watatu kwa game yenu....tunakuja na CB wawili na LB mmoja na RB mmoja. Ila ma DM watakua wawili.
 
Last edited by a moderator:

Hahahahah.. shikamoooo everlenk..
naomba niulize swali... kwani tunavomfunga Asenooo na tutakavo chukua ndoo hauta jikaza tena KIKIKE😀😀😉😉
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…