Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nimesema hivo kwasababu nifupishe mjadala lkn km unataka ligi mi naweza tu....
 
Sana tu. Hivi unakumbuka tulivyowapiga mkono? Hazikuwa wala enzi za Abramovich!

Hatuwezi kushindana na timu ambayo kwenye hadhi ya watu wenye hadhi ya kuhodhi mataji mengi ya EPL.
At least wakongwe wenzetu Liverpool wanaweza kuongea, sio nyinyi wa juzikati 1905.
 
Why not..!!! Absolute he will...and that its to show them they did wrong to let him go.... mfarisayo;
 
Last edited by a moderator:
Na saasaa natoa tamkoo sasaaa!!!!
Mpuuzii mmojaaa,,mjingaa mmojaa,,asiefaa mmojaa ,,anaitwa MAN CITY ambaee ni bingwa mtetezi wa EPL…
kwa sababu ya kulaa chakulaa chakee amecheza hovyoohovyoo.... na kocha wake analia ovyo ovyo... sijui alikula maharage ya wapii yulee??!!! Timu zinginee zoote zimefungwa na makocha hawakulia lakini yeye akabwayabwaya ,,akalewalewaa
Analialia yuleee
amefungwa yule mjingaa yulee,,
hafaii yulee,,,sjui karogwa na nani yulee??... Haiwezekani achezee NNE tu
Alafu analia,

Nilikuaa namuamini mimi ..
sasaaa simuamini tenaaaa!!...
na ninamtangaziaa hilii....
na kila timu yenye akili timamu iwe chelsea, iwe arsenal ama crystal palace Usimuaminii Pellegrin
kwa sababu kajishushiaa heshima mwenyeweee..!!Timu zinginee zoote ikiwemo chelsea, ikiwemo lens, ikiwemo Madrid,,ikiwemo Shefield Utd woote wamecheza vizuri na wameshindaa... Agghhrr!!! Muheshmiwa Pellegrin,,
pokeaa ujumbe wangu leoo..hufai kabisaaa na kama ingewezekana unusicheze UEFA kabisaa maaana Umechoka, Hufai Pellegrin
ondoka Pellegrin kalaleee pellegrin huu ni wakatii wa KUTAFUTAAAA WATAKAOSHIRIKIIII UEFA !!!!!:bange::bange::bange: wiiwiiiiii,,,wiwiiiii,,wiii..!!!!!! Kama ww ni man city nawe umerogwa vile vile..,,basi kama yanakuuzi hayo kashitaki kwa Kashitaki FA Lakini mimi nasema hufaai,,inawezekana umefilisika,,inawezekana umekwishaa,,inawezekana umezeeka,
Umeaibisha Ligi ya UINGEREZA Chelsea; man city anawaaaibisha,,Man utd; man city anawaaibisha,,arsenal; man city anawaaibisha MAN CITY umeaibishaaaaaa!!!! Umekua kama Timu ndogo ilioshuka daraja isiojua la kufanyaa.. uuhhh..uhhh..uhhh..
Baaasii sasa,,,ujumbe umefika sasaaa,,roho imeuliaa sasaa..sasa tunaweza kutulia tena leo sasaaa nimempa vidonge vyake sasa!!nimempa shilingi zakee sasaa!!!!Nimeona kuendeleaa kuangalia mpira leo huku nimemkopesha haifai!!nimemlipa cash!!sio kwa installment,, Aaaa roho imesuuzika sasa,
Huu ni wakati wa makavuuu liveeeeeeeeee

Hu hu hu huuuuuuuuuu
 
Mazaya;

acha upuuzi utaacha man utd tuitwe icc kuhojiwa tuhojiwe utajiri wetu. OT tusiingie tena. hawa wapuuzi tutawapiga kimyakimya. Mtashangaa EPL trophy inatua OT.

Kwanza mnaona mastaa wanavyolilia kuja OT?
 
Last edited by a moderator:


Good news!!! Michael Carrick has not been ruled out of this weekend's game against Chelsea. According to Van Gaal. "He was wise to step off but we have to wait and see tomorrow. He had a stiff calf and he is a very experienced player so he asked to leave the pitch. I said: ‘Okay.'"
Carrick strolled off the pitch on Sunday, causing concerns over our phenomenal magician. After his stroll, Twitter took to madness describing why MC could just walk off the pitch without ceremony:
#1. Carrick got bored with the City game and just walked off.
#2. Giggs signalled Carrick that his Nan was calling and Carrick went ahead to pick up. Why not, he'd had 100% success on his tackles.
#3. Carrick, still controlling his injury - let's go to the dressing room. Now.
---
This is great news for United. It's not coincidence that out superior performance has coincided with Carrick's return.Let's wish Carrick a quick recovery. ‪#‎believe‬ ‪#‎GGMU‬ ‪#‎uniteddamu‬
 
Tofauti ya Man Utd na Chelsea ni Hii

Chelsea wanajisifia kuwa wao ni wabaguzi na wanapenda hali hiyo {Ushahidi Upo}
Mchezaji Gutierez jana kapata standing oviation Anfield sehemu ambapo mpira ulizaliwa Uingereza;mashabiki wamempongeza kwa ku battle cancer

Ingekuwa ktk viwanja vyenu nyie wote Gutierez MNGEMZOMEA
 
Mi weekend hii niko na nyie #Teammanurekwamkopo piga mou achanganyikiwe kabisa yule na mdomo wake

Piga kabisa ....mkuu Nzi na nani yule anaitwa Belo [MENTION=2006]Idimi[/MENTION [MENTION=145810] na bila kusahau mfarisayo

pigeni huyo na mvunje daraja lao kama la mto Ruvu

afahamu nini maana ya EPL

Akija kwa Arsenal aje amepanic balaa tumvuruge kabisa
 
Last edited by a moderator:
Ntuzu umebakiza mchezaji mmoja anaitwa Hazard akipata hata minor injury mda huu imekula kwenu

nasikia FELLAINI ndo atakuwa anacheza nae dadadadadadeki lazima amparamie apate Jeraha la wiki 4

mtakoma kuijua EPL
 
Last edited by a moderator:
kashengo;

U nafikiri Mou ni wakupiga tu...kumpiga tu...kuvunja daraja tu km limejengwa kwa mabua....

Tunajua umuhimu Wa huu mchezo Zaidi unavoweza kufikiri...hii michezo miwili ndio inatupa ubingwa sisi...

Subirini muone tunavompinga Man Then twaja kwako Gunners tunakupiga mpk Wenger aanguke tena.
 
Last edited by a moderator:

Hiyo tarehe 18 lazima uwe kama #Teammburukenge utakuja baada ya game na visababu kibao hamna rythem mshachoka ushindi wenu usiku

alafu vitimu vyote vilivyozaliwa miaka ya 2004- na kuendelea mtakufa tu

City imekuwa ni RIP 2008-2015

lazima wawaweke kambani daraja la mabua lile
 
Ntuzu umebakiza mchezaji mmoja anaitwa Hazard akipata hata minor injury mda huu imekula kwenu

nasikia FELLAINI ndo atakuwa anacheza nae dadadadadadeki lazima amparamie apate Jeraha la wiki 4

mtakoma kuijua EPL


Aiseee huko ulikotoka kwema lkn? Mbona uko kasi sn kuliko wenye Nyumba? We subiri zamu yako ya Mimi kuja Emirates ndio uingee.

Fulaini acheze na Hazard kivip? We ulikotoka huko sio bure.
 
Last edited by a moderator:
game za man u, arsenal na liverpool all together vs chelsea zitainyima ubingwa chelsea cos anagongwa zote...ubingwa kwenda OT.
 


Mpira ni dakika 90 nakushangaa sn kuona eti tumeshinda dakika za mwisho...kwani sheria ya mpira inataka timu ziwe zinafunga dakika ya ngapi? Hebu niambie mwenzangu maana labda kuna sheria zimetoka mpya kwamba ukifunga dakika ya 88 basi wewe umevunja sheria...

Nyie subirini muone kz....jmosi sio mbali kashengo utakuja hapa uongee kihaya..

Alafu mimi muda wote Niko hewani full MB za kutosha ukinibp tu nimepanda km hivi ulivonianza...sasa siku hiyo nikimbie kwa lipi?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…