Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naona mmeanza kua na jeuri

Unasema tumeanza wakati watu wanazeekea kwenye jeuri ya Glory. Muulize mtoto mwenye miaka 15 wakati anazaliwa aliwahi sikia kitu kinaitwa machinjio ya darajani, atakuuliza ndio nini hiyo.
Muulize Old Trafford ni nini atakwambia na mpaka leo inachinja tu.
 
Na nyie mrudisheni Lampard msije mkasema mlizidiwa katikati na akina Herrera


Herrera amzidi nani? Huyo charie atapotea siku hiyo ata huyo Fulaini atapotea kabisa! Mtakua mnamuona Carrick anaanguka na kina Jones hivyo tu. Chezea Hazard wewe na Faby?
 


Tarehe 18 sio mbali Mkuu....usije ukajificha siku hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…