umeongea kweli msimu huu katika mechi 19 za nyumbani tayari chelsea ameshinda mechi 12 , draw 3 and amebakiza mechi 4 kucheza. Sana sana man u wataambua sare.
Ningekuwa mimi ni Malafyale ningesema Hata nyie sasa mnaogopa kucheza na Mashetani Wekundu
Kwa mpira niliona leo .. striker babu Drogba... tutatafutiana tuu lawama humu kwenye jamvi siku hiyo

Hongera Man Utd Hongera washabiki wote wa Man Utd
Chelsea: you are next[/QUOTE
Namsikitikia sana lvga na upole wake atakapokutana na msema hovyo. Imagine unakula kipigo na maneno ya kashfa juu. Teh teh teh.
Kwa staili hii ya kusubiri mpaka fungulia mbwa ndiyo chelsea afunge bao 1 majanga yanawahusu. Gari kubwa limekata breki na dereva ameshuka ole wake anayechomeka Vitz yake....

Jamaaaaa fundiiiiii
Ningekuwa mimi ni Malafyale ningesema Hata nyie sasa mnaogopa kucheza na Mashetani Wekundu
Kwa mpira niliona leo .. striker babu Drogba... tutatafutiana tuu lawama humu kwenye jamvi siku hiyo
Kwa mara ya kwanza msimu huu Chelsea anaingia kucheza na Man U akiwa ni "under dogs"!Man U wapo vyema zaidi ya Chelsea