Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mangala for Kompany... Mmeshashinda. Mangala atatoa Penati kama sio Own Goal. Beki za Manchester City zina mwili lakini akili hakuna. See you in Old Trafford tukija kuwapiga ubaya.
 
46 mins: And we’re away again. Hopefully both teams can keep up the pace of the first half without actually all keeling over.
 
47 mins: City on the attack first up, and the ball falls to Silva in the area, but he can’t bring it under control well enough and the chance goes. Carrick then performs a nice little feint to send a couple of United players the wrong way.
 
Bado sijasahau kile kipigo cha 4-1 msimu ulopita, i want to experience the difference kwa kweli
 
Hii counter attack watu wanaangaika kweli kuizima
 
Mkuu naona umekuwa ni Director of Football wa Man City..... kweli ni Man Utd against the World

Ila sisi tutamshughulikia anayekuwa mbele yetu mmoja baada ya mmoja

Mwizi tunamkimbiza kimya kimya

Nilishakwambia naichukia Man Utd kuliko sumu ya nyoka mweusi(black Mamba)
 
51 mins: Rooney goes down under the challenge of Mangala, and has the inevitable tantrum, so much so that when a few seconds later Navas takes down Mata and a foul is given, Rooney is still complaining.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…