wadau na wapenzi wa jukwaa hili nawatakieni sikukuu njema ya pasaka, kwani najua tutasherehea vyema baada ya kuzoa point 9 ktk mechi tulizoaminishwa kuwa ni ngumu.
Pole kwao walionyonyolewa manyoya, wajue tu kuwa huu ni mpira wa miguu ambao una matokeo ya aina 3 kushinda, kushindwa ama sare.
Nawape faraja tu kuwa bado wana nafasi ya kujifuta machozi kwenye kakikombe ka FA ikiwa watazichanga karata zao vizuri.
Otherwise nawatakieni PASAKA NJEMA NYOOTE
Lilitaka kulikaribia lile alowafunga man city wazza khabari nyingine
City jtatu wanafungwa na sisi tutawatuliza
Mkuu unaongeleaje magoli aliyofungwa Degea katika hizi mechi mbili tukianzia na lile la Sturridge pale Anfield na la Benteke leo hii.Hongereni sana #ManUnited fans....
Leo timu imepasha msuli kwa ajili ya Derby...naona na Wazza alikuwa akifanya mazoezi ya kupiga tena ile bicycle kick...
Angalau sasa unaona timu inavyocheza, kumekuwa na consistency toka game dhidi ya Spurs....
Combo la Mata na Herrera na hatari kwa afya za timu pinzani....
Kitu kimoja tu naomba LvG asije haribu ni kumpanga Evans kwenye backline, huyo jamaa asugue benchi na mwisho wa msimu apigwe bei....alikuwa very promising, lakini naona majeraha ya mara kwa mara yamemaliza kabisa kiwango chake.
RvP nashukuru kwa mchango wako, haswa kutupatia taji la 20. Lakini nakutakia safari njema. Ukipona usije mloga LvG aanze kukupanga na kuharibu formation ya sasa...
Tukutane tena tarehe 12 hapa hapa uwanja wa nyumbani kwa ajili ya Derby na watani zetu Man Shitty...
Duh!kumbe mnaweza!
Mkuu unaongeleaje magoli aliyofungwa Degea katika hizi mechi mbili tukianzia na lile la Sturridge pale Anfield na la Benteke leo hii.
Mkuu unaongeleaje magoli aliyofungwa Degea katika hizi mechi mbili tukianzia na lile la Sturridge pale Anfield na la Benteke leo hii.
Dua lisipite bila kuitikiwa Ameen
Mkuu unaongeleaje magoli aliyofungwa Degea katika hizi mechi mbili tukianzia na lile la Sturridge pale Anfield na la Benteke leo hii.
Wanafuata
1. Man city
2. Chelsea
Tukiwaumiza hawa nafasi ya pili ya kwetu.
Kumbe mtacheza dhidi ya City na chelsea mechi zinazofuata. Uhakika wetu wa kuishia top 3 utakamilishwa katika hizi mechi zenu 2. Mtaondoka maybe na 1 point kama sio 0 point.
Mlisema maneno hayohaya VS Spurs, VS Liverpool!
Mlisema maneno hayohaya VS Spurs, VS Liverpool!
Spurs na Liverpool hawapo top 4.Pia hawapo katika level ya City na Chelski