Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nani cost us a game..agh!
Poleni watani sio Nani timu nzima imecheza ovyo, penalti yenyewe ya utata, goli la kujifunga wenyewe, Jonny Evans alikuwa njia aisee, naona hata iyo pointi moja bahati yenu. Ndio safari imeanza.
 
BREDE HANGELAND scored at both ends as Fulham prevented Manchester United from rejoining Chelsea at the top of the table.
 
Craven Cottage siku zote uwa inadefine season yetu, march walituchapa tatu hawa watoto sina hamu nao kabisa.
 
yote kawaida tu,fulham toka wanapanda daraja ni wasumbufu kwa man utd hasa wakiwa kwao craven cottage,sawa na spurs kwa chelsea white hart lane,hizo 6 mnazoshinda wapinzani zisiwape jeuri maana hata ktk world cup 2010 ujerumani kapiga 4,4 ila kakutana na kisiki cha mpingo ambao walianza kwa kuchapwa lakini wakawa wanashindi ushindi mwembamba mpaka wakawa mabingwa.
 
In general timu haikucheza vizuri hasa kiungo Paul Scholes ndio alikuwa afadhali nilishangaa Fletcher alikuwa slow sana ,kwenye defence nako Evans alikuwa uchochoro but siku zote Fulham wanatubania,Mark Hughes nae kila tukikutana anabana
 
Ndo kiwango chenu hicho broda!
 
In general timu haikucheza vizuri hasa kiungo Paul Scholes ndio alikuwa afadhali nilishangaa Fletcher alikuwa slow sana ,kwenye defence nako Evans alikuwa uchochoro but siku zote Fulham wanatubania,Mark Hughes nae kila tukikutana anabana

Oops whose talking? Khe khe khe khe khe .... ..... ....... .... Man City wanawasalimia nasikia wameanzisha vita ya murals sasa chijui kama kutakalika.
 
Utaendelea kulizwa na kusaga meno khe khe khe khe.

Basi alternative team itakuwa Ars au nihamie Spain kwa Barca,ha ha..
Ila tumeanza na kilio na tutamaliza na kicheko,tatizo ni Ars kumaliza kwa kilio as usual..:confused2:
 
Tatizo la huyo Walcot hatafunga goli lingine hadi 2011

Nawe Wacha kelele bana kiherehere tu kama D***, nenda kwa Fulham ujiliwaze kidogo khe khe kheeeee. Unafikiri huyo ni Rooney?
 
Huwezi kumlinganisha Rooney na huyo Mwanariadha
 
Huwezi kumlinganisha Rooney na huyo Mwanariadha

Mizoga ya England ... ..Rooney na swaiba wake ..
 
Ati Rooney Nani vile? .... ..... Whining hasn't scored in more than 18 hours of football. Halafu unamsifia kupenda kubaya ... ... ... sikio la kufa halisikii dawa khe khe kheeeeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…