Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Weeee sasahivi tumerudi kwenye form yetu mbona UEFA na tutafika mpaka fainaly na tutacheza na Barca akishinda yoyote furaha kwangu, Ntuzu hapa nimeongea kama waleee rafiki zetu lol

akikutana na Barca mshindi si anajulikana mkuu!!??
 
Last edited by a moderator:
Man U kwanini msitengeneze uwanja wenu uwe na muonekano mzuri, haiwezekani timu kubwa na yenye pesa kama Man U ikapitwa kuwa na uwanja mzuri na Taifa la Tanzania. Uwanja wa Mpya wa Taifa ni mzuri kuliko Old Trafford.

Ushawahi kufika OT?! Ukishajibu tutaendelea.
 
Reactions: Nzi
Man U kwanini msitengeneze uwanja wenu uwe na muonekano mzuri, haiwezekani timu kubwa na yenye pesa kama Man U ikapitwa kuwa na uwanja mzuri na Taifa la Tanzania. Uwanja wa Mpya wa Taifa ni mzuri kuliko Old Trafford.

It doesn't MATA
 
Ni kuukosea heshima Uwanja wetu wa Taifa Tanzania kuufananisha na uwanja wa ajabu ka old trafford.
OT umeuzidi uwanja wa taifa ktk Capacity na uwanja wao kuwa na matunzo.
Ila kuanzia muonekano na vitu vingine, Uwanja wa Taifa ni mkali sana kuliko huo Old Trafford.
 
Attachments

  • 1428071115397.jpg
    45.4 KB · Views: 123
  • 1428071194191.jpg
    83.2 KB · Views: 117
  • 1428071244541.jpg
    53 KB · Views: 113
Kwa sababu sasa hivi kila mechi ni kama fainali, natamani kuona kikosi hiki kesho kikianza.
1. DDG
2. Valencia
3. Blind
4. P. Jones
5. Rojo
6. Carrick
7. Mata
8. Herrera
9. Rooney
10. Fellain
11. Young (Di Maria atokee bench)

Hapa ni full kuwakimbiza bila huruma hadi wanyoshe mikono juu.
 
Mkuu naunga Mkono utabiri

Ukizingatia Evans bado ana adhabu na Smalling mgonjwa kati obviously ni Jones na Rojo na pembeni, mid na forward kama kawa

Golini natamani Valdes apewe debut kesho though can't see that happening
 
Valdes wa nini acha aendelee kukipiga U-21, De Gea atosha!

Ligi imefika pabaya si wakati wa trial and error.
Point 3 zinahitajika ktk kila mechi tutakayo ingia uwanjani.
Valdes ni mlinda lango mzuri ila atulie kwanza.
 
Wadau muda umebadilika....zile game za Saturday afternoon zitakuwa 1445 EAT an za jioni zitakuwa 1700 EAT, zile za ECL zitakuwa 2145 EAT at least tutalala mapema!
 
Swali rahisi limekushinda kujibu. Ushawahi kufika OT?! Jibu then tuanzie hapo.
 
Kikosi ni kilekile ispokuwa Rojo amechukua nafasi ya Smalling leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…