Come again...??!
So far so fantastic....just few hitches...kazi ni namna ya kuapporach 2nd half..subs za kufanya..maana Loserfools watakuja na kasi zaidi kipindi cha pili....mtihani leo kwa LvG....
Ila ningekuwa mimi, ningemtoa Mata na kumuingiza Di Maria ili Emre na Ssoko wawe busy pande zote...ningemtoa Rooney dakika za 70 na kumuingiza Falcao, kama bado matokeo yatakuwa 1-0...kisha Fellaini na Falcao ndiyo wakawa wapo mbele..huku Carrick na Herrera wakizidi kumiliki pale kati....
United wanaonekana wapo wengi katikati(midfield) tofauti na formations zinavyosema hapa. Midfield za Liver zimekwenda Dubai holiday
So far so fantastic....just few hitches...kazi ni namna ya kuapporach 2nd half..subs za kufanya..maana Loserfools watakuja na kasi zaidi kipindi cha pili....mtihani leo kwa LvG....
Ila ningekuwa mimi, ningemtoa Mata na kumuingiza Di Maria ili Emre na Ssoko wawe busy pande zote...ningemtoa Rooney dakika za 70 na kumuingiza Falcao, kama bado matokeo yatakuwa 1-0...kisha Fellaini na Falcao ndiyo wakawa wapo mbele..huku Carrick na Herrera wakizidi kumiliki pale kati....
I think despite goli alilolifunga, Mata should be replaced...with who? Maybe Falcao or Di Maria..m nt sure!!!
Duh... hata hajagusa mpira.... Noma
1 Swali: Kwa nini ununue nguo ya mbei mbaya halafu usiivae?
2 Swali: Kwa nini uazime kifaa cha ujenzi halafu usikitumie ipasavyo?
FT: Liverpool 2-2 Manchester United
2 Red cards 1 each for both teams.
Naona umekumbatia mikoba ya Sheikh Yahya na Babu wa Loliondo
GGMU