Nimekosa mechi mpaka dakika ya 80...kufika kukaa kidogo, dk. 9 badae Ashley kafanya yake...
Dah! Nimefurahi kuliko kawaida...maana nimetoka kwenye ligi ya soka ya mtaani, timu ninayochezea tumepigwa goli 6-0! Kwahiyo ushindi wa leo umenitoa machungu 😀
Ushindi leo ulikuwa muhimu kuliko maelezo, maana wakaanga sumu wote wameshinda, wangejaa humu kama nzige kwenye shamba!
Sasa wanaugulia uchungu kimya kimya 🙈🙈🙈

...timu ninayochezea tumepigwa goli 6-0!

Kumbe ndio sababu siku nyingine huwa una hasira za kutisha unakuwa umepigwa mtaani na umepigwa EPL, leo shukuru Mungu almanusra. Hongereni kwa ushindi humu sasa mtaelewa mkiambiwa mpira ni dakika 90.
Hehehehe. Kumbe timu za Man Six zipo nyingi eh?
Kumbe ndio sababu siku nyingine huwa una hasira za kutisha unakuwa umepigwa mtaani na umepigwa EPL, leo shukuru Mungu almanusra. Hongereni kwa ushindi humu sasa mtaelewa mkiambiwa mpira ni dakika 90.
Ashley Young kawaharibia sana watu siku yao....
Yaani fanya yote usije ukaukosa mpira wa tarehe 9 ili uone ni jinsi gani goons walivyo loyal kwa Utd
Bora hukuwepo mwanzo maana......yote tisa kumi kuliko zote ni 3 points.
Acha kabisa...ni ligi bana..leo ilikuwa game ya 1, tumecheza na mabingwa wa mwaka jana...timu yetu tulikuwa hatujafanya mazoezi pamoja..basi tukawa tunakimbiakimbia tu...uzuri ni indoor football, hivyo subs ni kama basketball tu....
Kundi lina timu 7, hivyo bado tuna mechi 5 nyingine, tukifanya matizi tutapita..kwani kila kundi linatoa timu 3 katika 7...
Ndiyo jambo la msingi...sipati picha jinsi wakaanga sumu wangevyojaa humu kama tungedroo...
Nzi hivi yule jamaa aliweka bet ?Wewe acha tu!!! Kina YNWA walikuwa wameshaanza kupeana five kwamba nafasi ya nne ni yao,leo ungekoma na bet zako ulizoweka,Lol
Jamani mlale unono na wale ambao kwao bado mchana muwe na siku njema ,leo kwa raha zangu...... uhispania raha Uingereza raha zaidi....