Nimekosa mechi mpaka dakika ya 80...kufika kukaa kidogo, dk. 9 badae Ashley kafanya yake...
Dah! Nimefurahi kuliko kawaida...maana nimetoka kwenye ligi ya soka ya mtaani, timu ninayochezea tumepigwa goli 6-0! Kwahiyo ushindi wa leo umenitoa machungu 😀
Ushindi leo ulikuwa muhimu kuliko maelezo, maana wakaanga sumu wote wameshinda, wangejaa humu kama nzige kwenye shamba!
Sasa wanaugulia uchungu kimya kimya 🙈🙈🙈