Bado naamini LvG ni meneja sahihi kwa United kwa sasa....
Timuatimua kutafanya timu isiwe stable kwa misimu mingi....ni heri tupitie haya masahibu tukielekea kwenye stability....
Kama ni uvumilivu basi Moyes alikuwa chaguo sahihi kuipeleka man u kuwa stability. Na hii naithibitisha kwa kuangalia alipoitoa Everton mpk alipoiacha. LVG amechemka EPL.
LVG ni mzuri akipewa timu ya Taifa. Combination ya mastaa wote wa dunia wakimbeba lazima ang'ae.
Kama ni uvumilivu basi Moyes alikuwa chaguo sahihi kuipeleka man u kuwa stability. Na hii naithibitisha kwa kuangalia alipoitoa Everton mpk alipoiacha. LVG amechemka EPL.
rubaman
Kwani FA Cup tunachezaga siku gani?
Hatua hii ndio itakuwa ni mwisho wenu kucheza CL....bila ya kusahau kitakachowatokea Old Trafford kwenye FA Cup
Mechi itakuwa tarehe 9... Mwaka huu unaweza kuwa mwaka 2 mfululizo nyie kukosa UCL.Anyway, top 4 ipo tight kinoma, yeyote anaweza kuikosa nafasi ya UCL mwakani.
Tukikosa na mwaka huu itakuwa ni disaster
Ila nina matumaini ya kumaliza top four... ila LVG sometimes upangaji wake timu unatu cost
Huwa siwaelewagi wapenzi wa mpira. Upangaji na tactics zinakuwa mbaya pale timu inapofungwa au kutoa draw. Hutasikia mpenzi akilalamika timu inaposhinda kwa formations na tactics hizo hizo. Timu yenu labda haina wachezaji wazuri wanaofit philosophy za LVG?
Tatizo sio tukishinda hatulalamiki... ni je tuna shinda kwa namna gani au tunafungwa namna gani.... kuna mechi kibao Utd mpaka mwisho wa mechi Utd shot on target 2 tuu