Na wewe unaandika hivi sio? Poa utakuja kwetu.
Ha ha ha ha ha.....umenikumbusha mbali Sana! Enzi za utoto ukimzingua mwenzio anakwambia utaona ukija kwetu halafu kwao ndio wenzio na wewe mnapenda kwenda kucheza,aisee unapata mtihani hapo!
Mm nampiga huyu easily tu!Kane wao ni kwa Chelsea na Arsenal sio kwa majogoo
Ngoja tusubiri tuone, Spurs kwa mtazamo wangu wako vzr kuliko Everton mliocheza nao juzi. Km watakua ktk kiwango chao kizuri mchezo waweza kua mgumu.
Kwanza Everton tulicheza ugenini na leo tupo kwenye Anfield kwetu
Pili tumepata sare na Everton sababu ya upuuzi wa Sterling na leo likely hachezi
Tatu ile ni derby haijalishi nani mzuri wa mwenzake yyt anaweza shinda
Leo napata points 3
Mm nampiga huyu easily tu!Kane wao ni kwa Chelsea na Arsenal sio kwa majogoo
Kwanza Everton tulicheza ugenini na leo tupo kwenye Anfield kwetu
Pili tumepata sare na Everton sababu ya upuuzi wa Sterling na leo likely hachezi
Tatu ile ni derby haijalishi nani mzuri wa mwenzake yyt anaweza shinda
Leo napata points 3
Kwanza Everton tulicheza ugenini na leo tupo kwenye Anfield kwetu
Pili tumepata sare na Everton sababu ya upuuzi wa Sterling na leo likely hachezi
Tatu ile ni derby haijalishi nani mzuri wa mwenzake yyt anaweza shinda
Leo napata points 3
Mkuu mechi imeshaisha au bado half time?
Na nimempiga kama nilivyo haidi!Hii sio Liverpool ya Lovren
Umempiga easily eh!?!
Yaap!Ww huwezi mfunga huyu Spurs popote pale mkikutana,huna team bado
Nakubaliana na wewe hatuna timu ya kumfunga spurs, Ila timu ya kukufunga wewe ipo.
Uliifunga Liverpool ya akina Lovren na Glenn Johnson!Mtakuja Anfield mtakiona kilicho mtoa kanga manyoya
Ongezea na Mr. Liverpool Steven Gerald.