Song hana shida,alikuwa Arsenal na tulikuwa tunawafunga kiulaini
Ilikuwa Man U ya The Greatest Coach Babu Ferguson sio Man U ya hawa wasaka tonge!Man U ya babu nani alipona?
Yaani hapa man United wanajisifu, timu ambayo hata simba au yanga zimetumia gharama zaidi
Hongera sana mmejikakamua leo!Hongereni ingawaje mechi ilikua ngumu sana kwa pande zote mbili
ilikuwa man u ya the greatest coach babu ferguson sio man u ya hawa wasaka tonge!man u ya babu nani alipona?
Ilikuwa Man U ya The Greatest Coach Babu Ferguson sio Man U ya hawa wasaka tonge!Man U ya babu nani alipona?
we ni msahaulifu eeh?!! man utd hii ya wasaka tonge imemchapa liverpool 3-0.....na hao arsenal 2-1 na zingekuwa hata 3-0 na wachezaji bora kuliko Song.
Kwani Man U ya Babu haikuwahi fungwa na Arsenal/Liverpool?
Hapa tunazungumzia mafanikio ya pamoja sio mafanikio ya kumfunga nani
so far rekodi ya van gaal ni
vs liverpool played 1 won 1 lose 0.....100%
mkuu wanapoandika free inamaanisha club imewakuza hao wachezaji,sio kwamba wamepewa bure au wamewaokota mahali. unategemea club inayoshiriki confrence league kujikita kwenye usajili? mkuu uelewa wako ni mdogo sana kwenye soka nakushauri uhamie jukwaa la udaku.
Alifukuzwa Barcelona na Bayern!
Tungetolewa ungeweka hayohayo sema tittle ungebadirisha kidogo....lakini kwa heshima yako tu naomba uweka na ya Chelsea, Manchester City, Tottenham na Southampton
alifukuzwa barcelona na bayern!
Kufukuzwa ukocha sio ajabu, kote huko alichukua ubingwa (Bayern,Barca) alisaidia kuwapa nafasi wachezaji chipukizi hadi leo wanamkumbuka.Anceloti,Morinyo,Benitez pia wamewahi kufukuzwa kazi