Tungetolewa ungeweka hayohayo sema tittle ungebadirisha kidogo....lakini kwa heshima yako tu naomba uweka na ya Chelsea, Manchester City, Tottenham na Southampton
mkuu wanapoandika free inamaanisha club imewakuza hao wachezaji,sio kwamba wamepewa bure au wamewaokota mahali. unategemea club inayoshiriki confrence league kujikita kwenye usajili? mkuu uelewa wako ni mdogo sana kwenye soka nakushauri uhamie jukwaa la udaku.

Nilikuwa sijui kama timu za Conference huwa hazinunui wachezaji. Kama haziwezi kununua wachezaji basi zitakuwa hazina uwezo wa kuwalipa mishahara na zitakuwa na bajeti ndogo kuliko Yanga na Simba. Naomba unieleweshe kama ni kweli timu za toka katika conference league hazilipi wachezaji mishahara? Nijuavyo ni kuwa wanalipwa pesa ingawaje ni kiasi kidogo, kulinganisha na ligi zingine. Na kama watakuwa wanalipwa basi watakuwa wananunua wachezaji kama timu nyingine.