Huyu Rafael ni kuuzwa,tangu ameingia hakuna alichofanya zaidi ya kucheza rafu
Game ilikuwa ngumu sana, kuondoka na point 1 siyo mbaya sana...Lloris kafanya ya DDG leo..
Ni poa tumemaliza mwaka bila ya kufungwa. Sasa tunaenda kwa Stoke kuanza mwaka vizuri.
Kina Di Maria, Rojo na Blind watakuwa fit naamini.
#GGMU
Hiki siyo kiwango cha kutwaa ubingwa msimu huu. Umaliziaji butu kama huu na kipindi cha pili ulimi nje ni maswali hayana majibu.
Hongereni basi wakuu good omen. Ati tofauti ya Mo No na Van Gaffe ni jinsi ya kumtumia Young Diver. Jamani Maruni kenda api?
RRONDO
Point moja ugenini sio mbaya,piga moyo konde usonge mbele ujiandae na mechi ngumu Alhamis na Stoke City ugenini
aaah game hii ilikuwa ya kushinda basi tu FATIGUE imewakumba wachezaji wetu....baada ya kipindi cha kwanza perfomance level ikashuka kabisa....kwa nilivyoiona timu Stoke city tunawakalisha tuko vizuri sasa hivi yaani nadiriki kusema tuko vizuri kwa mara ya kwanza baada ya niaka miwili!!!
Wacha kulialia fatigue kwani kuna timu haikucheza siku ya boxing day ... . . .. .khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie. Yangu macho.