Tukiweza kufikisha point 40 ndani ya mzunguko wa kwanza tutakuwa kwenye position ya kugombania ubingwa kwa sababu mara nyingi bingwa anakuwa na point 85 hv point ambazo tunaweza kuzifikia
Kama wachezaji watakuwa fit hasa mabeki msimu huu tunaweza kugombania ubingwa.Herera,Blind,Fellaini na Carrick wanatosha.Kama Di Maria angekuwepo leo Loserfool tungewafunga hata goli sita
Welcome back,
Tatizo letu kubwa ni beki na kila wiki beki anaumia sidhani kama tumeweza kuchezesha same back four kwenye game 3 mfululizo.I hope kama tusingepata majeruhi mabeki wangeelewana