Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ninachoweza ni kusema ni kwamba, timu yetu inajua sana kufunga. Inapiga on target 6 na inafunga bao 3. Majirani mjishike huko maana gari ndio limeshawaka sasa, tumeshinda mechi sita mfululizo. Mechi sita za Carrick na ni mechi sita za ushindi.
Ova
 
Mara nyingi nawaambia mashabiki wenzangu kuwa tatizo kubwa la liverpool ni kocha. Na mara nyingi wamiliki wa team wanakosea kwenye uchaguzi wa makocha. Kila kocha ana level zake kwenye league. Kuna makocha special kwa makombe na wengine wa kuingia top 4 au top 10.

Breandan ndo tatizo kubwa liverpool, hajajua kwanza mashabiki wanataka nin, hajajua kwamba team inahitaji wachezaji wa calibre gani kuingia top 4 au kuchukua league. Quality ya sasa ya wachezaji wa LP ni top 10. Liverpool inahitaji wachezaji wenye vipaji wengi kama alivyokuwa Suarez na Alonso. Gerrad ameshazeeka anahitaji kupumzishwa, sterling ana kipaji ila hajapata partnership ya kuelewana nae. Uzeni Balloteli, yule anahitaji kuzungukwa na mastaa kama alivyokuwa kule City, LP haina mastaa wa hivyo.

Fukuzeni Brendan Rodgers leteni kina Klopp, DiCanio na wengineo.
 
Ninachoweza ni kusema ni kwamba, timu yetu inajua sana kufunga. Inapiga on target 6 na inafunga bao 3. Majirani mjishike huko maana gari ndio limeshawaka sasa, tumeshinda mechi sita mfululizo. Mechi sita za Carrick na ni mechi sita za ushindi.
Ova

Tunahitaji beki isiofanya makosa ya kizembe. Huwa wanatuangusha sana na DeGea anaficha mapungufu yao.
 
Kama wachezaji watakuwa fit hasa mabeki msimu huu tunaweza kugombania ubingwa.Herera,Blind,Fellaini na Carrick wanatosha.Kama Di Maria angekuwepo leo Loserfool tungewafunga hata goli sita
 
Tunahitaji beki isiofanya makosa ya kizembe. Huwa wanatuangusha sana na DeGea anaficha mapungufu yao.

Ni kweli kabisa beki inatunyima sana amani. Majeruhi ya beki nayo imekuwa adui sana. Ona Rojo naye kashakosekana.
Ova
 
Pazi naomba FA wawe wanatupangia kucheza na liverpool na Arsenal kila week
Tehteh najuwa Leo utatizama mara 10 ushaiweka on demand najuwa Hongera mkuu tizama Miss World Ch E! Na Vote zako za Miss TZ mara kibao ila Top 25 Kumbe hayupo zile vote za kitu gani at DonDonald?.
 
Tehteh najuwa Leo utatizama mara 10 ushaiweka on demand najuwa Hongera mkuu tizama Miss World Ch E! Na Vote zako za Miss TZ mara kibao ila Top 25 Kumbe hayupo zile vote za kitu gani at DonDonald?.

Acha utani wewe ninasubili MOTD ianze niangalie tena ushindi wa sita mfululizo Miss World ni Mambo ya rubaman na truddy
 
Last edited by a moderator:
Mie leo nina hamu sana na togwa πŸ™‚πŸ™‚ nikipata chupa mbili tu itakuwa poa sana.

Hahaha!! Hiyo umepata ila niliyo nayo ni ile ya kichaga inaitwa mbege na ili inoge itabidi tukae duara tupokezaneπŸ˜›πŸ˜›::beer::beer:
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…