everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
ha!ulikuwepo wakati huo kumbe...
Wewe mimi wa Nyerere bana enzi hizo anataka kung'atuka.....
ha!ulikuwepo wakati huo kumbe...
sijawahi kumpenda huyu jamaa...yuko taratibu sana
haamini kinachoendelea hapo ndani!!huyu dogo sijui ni"raha jipe mwenyewe" kachoka aisee!
ha ha ha ha aminia...Wewe mimi wa Nyerere bana enzi hizo anataka kung'atuka.....
De gea akikuomba utupu Leo utamnyima????
6th consecutive win...tunawakimbiza real Madrid...wao wana 20!!!!!!!!
Thank you,tuombe 90 ziishe salama.
Watu weweeeeeeeeeeee!!! Ushindi wa leo mtamu kama Mcharo si wa kupepesa hata kidogo. Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer!!!!!!
Watu weweeeeeeeeeeee!!! Ushindi wa leo mtamu kama Mcharo si wa kupepesa hata kidogo. Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer!!!!!!
Hii mmeshinda tu waungwana! Wala msiwe na Shaka!
Hivi liverpool anajiita team kubwa??