Can we please play with arsenal every weekend..
Tulishawahi kuwafunga arsenal tukiwa na mabeki 9 uwanjani leo tumewafunga tukiwa na ma forward 9 uwanjani.
Hawa tumefunga nao ndoa.

Ahsante mkuu. Ila kimebaki kitu kimoja tu, nacho si chingine bali ni hiko KITI ulichokalia.
burudani inaendelea
celebration....
babu kabanwa na ngiri a.k.a tezi dume!!!!!!!!!!!!!
what a goal to make it 2-0