Hongera siku yenu leo. Mpira ni magoli kucheza vizuri tu bila kuziona nyavu za wapinzani haitoshi kabisa.
Naona hadi mpate Own goal ndo mnapata goli. Majanga vs Majanga leo.
Santeee sana wangu ila mmetupelekesha kiasi fulani haikuwa kazi rahisi.pole sana dear kwa kipigo ndo mpira huo.
Hakuna kama kazi rahisi kama kumfunga Arsenal
Umeona eeh!! umaliziaji ndio unatuangusha kwenye mechi zetu nyingi Best, leo kulikuwa na at least goli nne za wazi kabisa lakini ndiyo hivyo tena pasi nyingi kupita kiasi, vigugumizi vya miguu na wakati mwingine ubinafsi pia. Congrats!
Ili mtoke hapo mlipo mnahitaji mfanye maamuzi magumu

Tupa kule Wenger!!!! then we can compete at the highest level with any team on this planet.
Tupa kule Wenger!!!! then we can compete at the highest level with any team on this planet.
Yani ilitakiwa watoke kapa waache kidomo domo mara sanchez mara welbeck... ooh sijui mna majeruhi timu nzima??.. mbwembwe nyingii katimu kabovu tu
LoL! tuna donge kuu Mkuu lakini hilo halituzii kuwapeni hongera, siyo kama nyie huwa mnaishia kununa na kulikimbia jukwaa lenu.
Safiiiiiiii!! Nyie ni timu nzuri sana basi tu ufundi ndo hamna,huwa nafurahia sana nikiangalia games za Arsenal maana unapata burudani isiyo na kifani.
Haaaaa mi si nilikua nimekaa nao makelele kibao.... utadhani ndiyo yanafunga magoli...,
Yani hawa viumbe huwa sijibizani nao nitajichosha mwenyewe... nilikaa nao kwenye game ya uefa waliyochomolewa goli tatu,, wanatia huruma wakifungwa