Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jana majonzi kwa Bolton yalianza hapa kama mzaa vile ..

Bolton defender Jlloyd Samuel holds his head in his hands after scoring an own goal to put Manchester United into the lead

Halafu ikifika kipindi cha happy moment..rahaa tupu
 
Chelsea hawaleti presha yeyote sidhani kama watapona Old Trafford ambako kama kawa Park ,Rio & Rooney watarudi,advantage ni kuwa majeruhi kama Giggs,Macheda wamerudi so far naona ubingwa unakaribia
 
Karibu kikosi kizima ukiondoa Anderson,Oshea,Owen,Brown kiko fit
Van de Sar,Kuzack,Neville,Rafael,Evra,Park,Fletcher,Gibson,Giggs,Scholes,Nani,Valencia,Macheda,Diouf,Rooney,Berbatov
 


Manure tunawangoja tar 3rd April tuwatoe kamasi!
 
tumeshaweka 4pts cushion from arsenal,jmosi tunaweka 4pts cushion from chelsea,no prize to guess what happen next....
 
Nadhani united wajitahidi sana hii mechi na chelsea washinde maana arsenal na wenyewe ndio hivyo!!
 
Kuna watu hapa JF-Michezoni walikuwa wanasema Cheslki na Manure tuna-tough fixtures, i was just looking at them with alot of '???", naona taraatibu mambo yanaanza kuji-reveal tofauti, anyways, fate will tell. Mind u, Manure siku zote tumekuwa tunamaliza ligi vizuri.
Whose next?..
 

Ni kweli kabisa mkubwa Manda...ila naona kama kuna kimbembe Jmosi Ijayo hapo na Chelski ingawa ni game ya nyumbani inanipa matumaini kidogo maana atakashinda hapo obviously ndio atakuwa Bingwa

Lets hope and pray wapigwe 3 kama Arsenal
 
Tunaanza na Bayern kwanza huko kwao naskia wana majeruhi kibao
 
Ni kweli kabisa mkubwa Manda...ila naona kama kuna kimbembe Jmosi Ijayo hapo na Chelski ingawa ni game ya nyumbani inanipa matumaini kidogo maana atakashinda hapo obviously ndio atakuwa Bingwa

Lets hope and pray wapigwe 3 kama Arsenal
Naona umejichimbia huko Matombo, welcome back
 
Naona umejichimbia huko Matombo, welcome back

Mkuu Belo nipo sema mambo yalibana yakawa mengine yanapishana basi yote tunasema ya duniani.

Hope mpo salama waungwana wenzangu wa Man Utd....
 
Bayern face nervous wait on Robben

....... Rooney and Rio passed fit

Good News
 
Manazi wenzangu wa Old Trafford, tujiaanda kwa mtanage wa jioni, najua leo tunawalaza Wajerumani.
Kila la kheri mashabiki wenzangu.
 
Hawa wajerumani ni wagumu, lakini shetani atawatoa. All the best fellow devils.
 
well,natumaini tupate draw ya 1-1 inatosha,hii game man utd hatakiwi kuforce maanake wasije kumaliza nguvu zote leo wakati chelsea wanatusubiri jmosi,leo ni 1st half tu hakuna sababu ya kukamia.
 
Kila la kheri mashetani wenzangu, SAF and Man Utd they are always gud, ku-work under pressure,...hope leo tutwatoa kimasomaso Wajeremani wale....

Go United!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…