Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,975
- 25,288
Fellaini anaendelea kufanya vyema...points 3 muhimu zimepatikana...Crystal Palace ni timu sumbufu sana.
Sasa twende Imarate tukiwakalishe wateja wetu...
cc Ntuzu
Fellaini anaendelea kufanya vyema...points 3 muhimu zimepatikana...Crystal Palace ni timu sumbufu sana.
Sasa twende Imarate tukiwakalishe wateja wetu...
cc Ntuzu
Mi napenda kuona ni namna gani Van Gaal na timu yake wanazidi kuimprove...! Kwahiyo Mkuu Earthmover mi Nina hamu sn kuwaona hapo Emirates mkifanya Vzr..!
.....Wabheja sana poti bhagishage okokaya hambo hambo tolegeinimomentamu!!!!
Mtaendelea kuchukua nafasi yenu naona Van Gaffe anaongelea 3 years .. . .. . .
Khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kutoka six months .. .
Wacha 1 vipi matokeo ya arsenal?! Au hajacheza leo
Nane nabhonaga ngalo...! Ba lamka nkoi....!
Wobheja sn nkoi..!
Aliyo ghashi ng'watoba mukulungalungaga lulimi ki lwenulu?
Tolekange ngalo topondye cha kokaya....!
guys....anzisheni basi thread ya kisukuma,hapa mnatutenga wenzenu.....au kama personal nendeni PM.
Hizi lugha za kutolea mapepo zimefuata nini tena humu? Agh!Aliyo ghashi ng'watoba mukulungalungaga lulimi ki lwenulu?
Smalling aumie milele
Rvp aumie hata wiki 2 tu
Januzaj kianzie benchi kinacheza mpira wa kitoto
Jones kapona ila atacheza game moja na atarudi wodini tena as usual
Evans simuamini sana!! Back line bora iwe ile ya dhidi ya c.place