Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Leo ushindi ni lazima Tukifungwa mode Nipige ban
 
Wacha 1 Leo karibu kwa ushindi mkuu
 
Last edited by a moderator:
Jamani ebu mkuje huku updates tutapata wapi wakuu? Nzi Belo mfarisayo.......come this way
 
Last edited by a moderator:
huyu mtoto Januzaj ananikera sana.LVG na yeye ---- tu

Yahani mi sioni kabisa contribution ya huyu mtoto..sijui LVG anamuangalia katika angle hipi..bora hata ya Young ataweka pressure kwa mabeki wa upinzani
 
Duh yani cross nzuri from Di Maria watu wanashindwa kukugusa tu
 
Kocha aongeze mshambuliaji au kiungo mwenye uwezo wa kufunga amtoe Januzaj
 
good for fellain anaonesha uhai kwenye mipira ya Juu. Mata for Januzaj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…