1 De Gea (yupo vizuri sana now),2 rafael (da huyu huna sinaga tatizo naye kabisa van gaal alitaka kufanya kosa kwa kumuuza),3 Luke show,anaifahamu vizuri man city so kule tumeziba,4 Phil Jones huyo aguero wenu nadhani mtamsikia tu,5 Rojo Eden zeko atakuwa beki kwetu,6 Fundi kipofu aka Blind,aina ya viungo wakabaji wa kisasa zaidi wanaotumia akili zaidi kuliko mbio,sikushangaa kupata kadi Matic au Fabregas kuzimwa pale nyuma,7 Di Maria huyu maelezo yake mnayo wapinzani kumzua asionekane ni shughuli nyingine,8. Herera fundi mwingine mwenye ladha yake peke yake kwenye midfield ya Juu,9 Robin Van Persie sasa engine ya kijerumani inaanza kupata moto,tunamdai magoli 6 hadi sasa,10 Wayne Rooney nahodha mpiganaji huyu jamaa yupo tayari kufa uwanjani lakini si kufungwa na Man City hii, 11. ningependa aanze Fellain au Valencia ili kuanza kukabia juu zaidi mana hawa watu wameshajifia sa lazima wajilipue wataweka watu wa nguvu pale kati so dawa yao ni mfumo tu utakaowafunga,kesho naona goli 3 kwa man u na goli 1 kwa Man city,Yaya toure kajifia tayari,David Silva ndio huyo,Nasri hana Mpya.
Hawa jamaa kidogo nyuma wapo vizuri lakini safu ya Man U pale mbele ni ngumu kukosa goli gem ya kesho[/QUOTE
Ningependa man u ashinde lakini tambo zako mh sijui itakuwaje maana umekuwa mc wakati mpira dk 90 na nyogeza kidogo.ntavumilia tu ili maombi yangu anayeongoza atanue wigo