90 min+3: Chelsea are down to 10 men! Ivanovic gives Di Maria a slight shove as he prepares to cross deep on the left and Phil Dowd shows him a second yellow card!
Mi siyo fan wa timu yoyote kati ya hizi mbili, lakini naweza kusema Chelsea wana timu bora kuliko United. Wamedhihirisha leo hii, hata mkinipiga mawe ukweli ndo huo
Mi siyo fan wa timu yoyote kati ya hizi mbili, lakini naweza kusema Chelsea wana timu bora kuliko United. Wamedhihirisha leo hii, hata mkinipiga mawe ukweli ndo huo
"We played well bt when u look at the table We wanted to win & get some points.." RvP
****
Chelshit wamecheza same game sawa na ile waliocheza dhidi ya City na mwishoni hata matokeo yamefanana kitu ambacho sikukitegemea kwamba wangecheza game sawa na kina QPR & Sunderland waliopo katika relegation zone.
****
Game tumeicheza labda kama tv yangu ndo ilikuwa inaongeza manjonjo ila kiukweli tunaimprove na tutaendelea kuimprove..
Well done boys.. #GGMU