Park hakuwa na kipaji sana but alikuwa anajitolea sana kuipigania jezi ya Man United na aliisaidia sana Man United kupata mashabiki wengi sana huko Asia ndio maana juzi ameteuliwa kuwa balozi wa United huko Asia
Hv wakuu redcard ya captain itamzuia ascheze match ya chelsea?! Au inaishia next game au ndo ile kuchagua match za kucheza?! Maana sidhani kama herera naye yupo fit for da game. Duuh...
Hv wakuu redcard ya captain itamzuia ascheze match ya chelsea?! Au inaishia next game au ndo ile kuchagua match za kucheza?! Maana sidhani kama herera naye yupo fit for da game. Duuh...
Mkuu hakuna kuchagua ni tangu unapata red card kama ni straight red card ni match tatu zinazofuata na kama yellow card mbili ikazaa red ni match mbili zinazofuata. Sasa unaweza chagua adhabu mkuu?
Najua kaka yaan tukipata matokeo game hizo tano znazokuja kiukwel tutakuwa na nafas nzuri sana ya kurudisha ndoo mtaa wa pili frm where it is currently