Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wakati mkijifariji Kwa hayo magoli, sisi twajivunia mtambo wa magoli Diego Costa

I will fabrigues you to costar"only chelsea fans
know this .........

Grand PA
 
Mcnair ni beki mzuri, akipata mechi nyingi atakuwa beki wa kutegemewa.

Jana alinikabia lukaku hadi nikapenda.

Anatakiwa angezeee zoez ya nguvu/ stamina ana umbo dogo ila ametulia sana na anatumia akili.

Combination ya valencia , blind , rafael, luke shawa ilikuwa bora.


Sub ya fellaini ilibabisha everton waanze kushambulia , fellain ni mzito hana mbio.
 
Yaani na wewe Mbu Mentor Grand PA Wacha1 EMT mmetunyanyasa sanaaa,ila sasa mwisho wenu umefika,omba sana Arsenal leo mshinde.....

Bahati mbaya sikuangalia mechi ya jana, so siwezi kutoa "unbiased" opinion. lol

Ile nimeona kwenye table Man Utd wapo juu ya Arsenali.

Hii ni pamoja na kuwa Asenali wamepoteza mechi chache zaidi kuliko Man Utd.

Man Utd waki-improve defensively (hope they did so yesterday) watakuwa OK.

Ila Asenali naona kama mchezo wao ni ule ule.

Walivyocheza last season haina tofauti na wanavyocheza msimu huu.

Why would they need Fabregas (special delivery man) wakati tayari wana Ozil?

Yaani ukiwa na special delivery man kama huyu hupati shida.

Anakuletea mzigo mpaka ndani, kazi yako ni kuuweka mzigo mahali pake.
 
I had the best weekend in a while. Yaani leo nina tabasamu pana na furaha isiyo na sababu. Ukiniomba jero nakupa buku. Ofisini kazi zinaenda tu. Jamani UNITED endeleeni kutupa raha.
 
One win & 16 losses in last 20 games vs Top5 teams does not constitute a 'great manager'. It constitutes a failure. #wenger
 
Kumbe ulikuwepo? LoL!!! Ila ukaamua kujificha!!!! Hahahahaha Chezeya kichapo weye, haya ila nakuhakikishia leo ushindi mnono 3-2

Baki huku huku mdudu mchafu usije kutuchafulia jukwaa letu na kutuletea magonjwa lol!!! Tunamchapa mtu leo 3-2

Haya nini tena mkuu!! hata mimi naona mmeshinda!!:A S wink:
 
Blackett anahitaji commanding midfielder. Yupo fresh yule sema anahitaji mtu mwenye uzoefu a-cope mapema
 
[h=2]One Hour Behind - Blog[/h]

One Hour Behind - Blog We keep climbing the table
October 6th, 2014

Hi everyone,
What an important win this weekend against Everton! And for many reasons: it is one more consecutive victory in Old Trafford; it means three points to climb to the top four of the table; winning is the best possible way to face an international break; and many other things. It was a key game but we know there is still a long way ahead. Because we won the match but once again we suffered until the last minute, and perhaps we should have controlled the game better. We took the lead thanks to Ángel and then David started his amazing performance. First he saved Baines' penalty. In the second half they tied the game and later on Radamel scored (I am very happy for you, the first one of many more goals, I'm sure). And then David did several extraordinary saves to keep the three points at home. What a superb performance! It seems his new haircut brought him luck…!
As the manager said we know we have to improve, but little by little we are climbing the table and I'm sure we will keep doing that with your support, always fantastic in Old Trafford.
In la Liga, Valencia has started really well as I could see on Saturday. It's not easy to make three goals against Atlético, and in just 15 minutes. The renovation of the team looks good from here. No wonder the fans are so excited. And Negredo hasn't made his debut yet… I'm very happy for them!
Barça and Real Madrid won their games the way they use to. The former haven't received a goal yet, that's something commendable, whereas Ancelotti's team keeps showing a big attacking power.
I don't forget about Eibar and that stunning goal from Saúl Berjón! Of course he is from Asturias!
If you haven't seen it yet, you should do it. It's good that you can find wonders like that anywhere, regardless of how big the budget of a club is.
Out of football, I want to send a big hug to the Formula One world and especially to Jules Bianchi's family. I hope he recovers soon of the horrible accident he suffered in Japan. And congratulations to the Spanish basketball team, runner-up of the womens world championship. As it happened in the mens championship, USA was the better team by far.
I'm starting a new week full of energy and looking forward to keep winning games and enjoying myself on the pitch. I hope you have a great start of the week too. I shall see you around here next Monday.
Hugs,
Juan

Seguimos escalando en la tabla | One hour behind
 
World class players ni lalana na baloteli?!
 

Attachments

  • 1412610725473.jpg
    51.2 KB · Views: 86
One win & 16 losses in last 20 games vs Top5 teams does not constitute a 'great manager'. It constitutes a failure. #wenger

Nilikuwa sijagundua hili.

Ngoja kina BAK wacha 1 waje kuthibitisha.
 
Last edited by a moderator:
Nzi nina game 7 nimecheza bila kupoteza ata moja! Vp tarehe 26 ktk game ya 9 Hapo OT utaniharibia mkakati wangu wa kutokupoteza game ata moja ktk kumi za mwanzo?
 
Last edited by a moderator:
Nzi nina game 7 nimecheza bila kupoteza ata moja! Vp tarehe 26 ktk game ya 9 Hapo OT utaniharibia mkakati wangu wa kutokupoteza game ata moja ktk kumi za mwanzo?

Dah! Swali gumu chifu. Ila Jones akiwa kapona, basi kichapo halali yenu. Beki yetu chifu majanga balaa!
 
Last edited by a moderator:
Wakuu mtaa wa 7 wamehamia ARS saiv chwe! chwe! chwe! chweeeeeeeeeee chwe chwe
 
Wakuu mtaa wa 7 wamehamia ARS saiv chwe! chwe! chwe! chweeeeeeeeeee chwe chwe

Mkuu si afadhali ingekua mtaa wa 7. Arse8 wapo mtaa wa8.
Thee thee tehe, wazee wa 8,8.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…