Kwa nini mnapenda sana kudharau timu wakuu?
Hii ni Premiership ati ambapo timu ya mwisho inaweza kuifunga iliyo juu.
Acheni hizo bana. Mechi kama hizi ndo zinafanya Premiership kuwa exciting.
***** refa...
Nice sub....
Refa kaharibu game...hilo ndio kosa la EPL, marefa wanazingua sana, hawapewi adhabu..next week atapangiwa game nyingine tena!!
Hahahahaha. It was really a nice sub, maana Mata ndo kasababisha Leicester kufunga goli.
Ila on serious point, defensively Man Utd hawako safi. You need a leader at the back.
Hivi vijamaa vimepata confidence sana sasa...
Hahahahaha. It was really Ila on serious point, defensively Man Utd hawako safi. You need a leader at the back.