Malizia sentensi yako Mkuu!, mmeiva kuzifunga timu za kata. Arsenal si timu ya kata, siku zote kumbuka hivyo.
LoL! #Mburukenge wote leo mliokuwa mafichoni kutokana na poor performance of your team leo mmeshuka jamvini na mnachonga kupita kiasi utadhani mmechukua ubingwa wa EPL kwi kwi kwi kwi
Spurs nao walishinda bao hizo hizo 4-0 against QPR week 3 tu zilizopita tena with a SOLID perfomance..
Ebu acha husda basi nawewe...khaa!
​Hahahahaha lol!!! Mkuu unahitaji kutumia akili kuona kwamba aliyekuwa mfu kafufuka? Kwi kwi kwi lol!!!
Louis van Gaal to MUTV:
"It's my wife's birthday, so we've given her a fantastic present!"
Ikiwa kweli hyo kitu itakuwa poa sana,Ingia goal.com nimeona post kuwa van gaal anamtaka humels. Kesho nikiwa na computer ntawawekea. Nimefarijika sana Nzi
teh teh teh teh teh sasa hapo mkuu ngoja waje wenyewe waiongele hii ishu.
Mkuu BAK njoo usikie maneno ya watu waliotoka Mafichoni teh teh teh teh teh.
Aliyekuwa kafa nani??? Acha maisha ya kukariri.
He needs 85 goals to match Shearer's record (260 EPL goals) Can he do it? Yes, if he stays at United till retirement.
Sasa kama siyo kufa nini Mkuu? Mechi 3 kukusanya 2 points huyu si mfu Mkuu? 🙂🙂...na goli ngapi vile?
teh teh teh teh teh sasa hapo mkuu ngoja waje wenyewe waiongele hii ishu.
Mkuu BAK njoo usikie maneno ya watu waliotoka Mafichoni teh teh teh teh teh.
Nyie kwa mechi nne mna pointi ngapi??
Kauguze maumivu ya kichapo cha Villa scourser!!🙈🙈🙈
Usisahau jinsi SAF alivyokuwa anatumia turufu/haki miliki yake ili marefa wawabebe. Sasa haki miliki ya kubebwa na marefa kaondoka nayo mmiliki SAF.
CC: Mkuu Mbu