Mhhhh! Kwa speed hii mtaishia njiani kwa mara nyingine tena mkija stuka nne bora za EPL zimeshapatikana na nyie mnarudi tena kwenye namba yenu maarufu ya mshindi wa saba lol!!!!. Ngoja tuone na mwendo wenu wa kikobe kobe mtafika wapi lol!!!!
Wanachungulia najua
Mkuu unaujua utamu wa bata lakini ukilinganisha na mechi mbuzi kama hii ya leo? Hawapo maeneo haya kabisa.