Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Eti United imepoteza identity yake kwa kumuuza Danny!!! #WakaangaSumu bana. Wanasahau kuwa toka mwaka 1937 kila mechi za ligi, kuna mchezaji mmoja wa kutoka kwenye Academy ya United kwenye starting 11. Leo yupo Blackett (true Mancunian) akiwakilisha.
 


Wakina januzaj wapo bench
 
Reactions: Nzi


Wanataka turundike mizigo. Wasijue duniani Madrid na United ni brand za biashara na football teams. Wengine watasubiri sana.
 
Reactions: Nzi
Falcao ana usongo hapo bench. Wamuingize ajipatie hat trick yake
 
Naomba uchambuzi wako wa fasta

Wapi pabovu....
Wapi panahitaji improvement
Nani atoke
Nani aingie
Tunaweza kuexploit weakness gani kwa qpr?

Mpaka muda huu timu inacheza vizuri kutokuelewana pale nyuma ndo ubovu tulionao na tunapohitaji improvement ni mbele.... RVP apumzishwe tuu tuone kipi anaweza Falcao...!!


****

Kwa QPR tunaweza pata magoli mengi hata matatu mengine kipindi hiki cha pili ila RVP sijaona makali yake...
 
​Khe Khe Khe naona una tabasamu la nguvu leo 🙂🙂🙂 hongera zenu van girl leo kapata ushindi wake wa kwanza.

Asante sana, uko team wakaanga sumu au nawe mshindani???
 

Hahahahaha kwa hiyo kocha wa zamani wa Manchester United (Michael Phelan) aliyekuwa katika jopo la SAF amekuwa mmoja #WakaangaSumu , kweli ushindi wa kwanza unalevya
 
Falcaooooo. Mama.eeeee anaondoka mtu na hat

Mataaaaaaaaaaaaaaa
 
Reactions: Nzi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…