najua leo kilio kingne kama sio draw man u lazima apigwe nishasema timu zinazomilikiwa na familia zimeoza sasa leo akishinda man u wewe nitafute tigo pesa nikutumie mtonyo[/QUOfTE]
Mnakunywa viroba vyenu hukooh mnaona jf ndio sehem sahihi ya kutapikia matapishi yenu. Kama unajiamini kwanini usiweke ahadi ya ban japo ya mwezi mmoja tu.