Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

#CnP

#VANGAAL aliniambia anauwezo wa kusajili ndani ya masaa 24 akafanya ivyo kwa #FALCAO .

Huyu VANGAAL siyo mtu mzuri kabisaa, 'Ana
ROHO MBAYA SANA' Anapandikiza chuki pale mbele #MANUTD watu wawe kama MBOGO kila wanapo liona goli....


Kama MIMI ningekuwa SHABIKI
WA TIMU NYINGINE ningeandika BARUA #FIFA
wampe tu KOMBE LAKE LA LIGI KUU mapema la sivyo kuna timu itakuja kupata AIBU kiukweli ilo
Naliona kabisa
 
Kwa hiyo Van Persie ndo hivyo tena? Nilidhani Blind kanunulia ili awe anamwagia mipasi ili awe anafunga magoli ya kupaa kama lile alilofunga world cup?

Halafu naona nae machale yamemcheza kadai haitaji kufanyiwa operesheni goti lake na haitaji time-off. Kasema he is looking forward to play with Falcao halafu hata kwenye lineup yako hayumo?

Kasema "Falcao must fight for his place, as I also have to. We must duke with Wayne Rooney and James Wilson to see who's playing." Can't wait to watch this fight.

Robin van Persie dismisses surgery talk and will fight for place with Radamel Falcao at Manchester United | Mail Online

Mourinho alitaka kumpa Rooney the greatest escape akadengua. Now atakuwa anacheza kama winger au Mata apigwe benchi.

Hyo sio official line up toka united, hii ni opinions ya pundits. Mimi binafsi naamini tukiwa na wakali wawili kama hawa wanapeana changamoto, na sio muda wote mchezaji atacheza, they must alternate.

The likes of mata, rooney, di maria, januzaj and good enough they are versatile
 
Zamani Man Utd kushinda ilikuwa guaranteed..

Wajamani!!

Huyo United supporter aliyetoa hiyo sentensi atakuwa ana matatizo ya akili (si tusi bali ni ukweli). Kwa sababu kama United ingekuwa na guarantee ya kushinda kwa kutumia tu akili kidogo tu (hata 0.1% ya akili zake) basi ingekuwa imeshinda mechi na makombe yote ilivyocheza na kushiriki!!

Duh! Hata kama ni banters, basi njooni na banters zenye kuleta sense hata kidogo!!
 
Duh! Hata kama ni banters, basi njooni na banters zenye kuleta sense hata kidogo!!

Banter ambazo hazileti sense ndo zinawafanya wenye jukwaa kutolikimbia.

Who would like wenye jukwaa walikimbie kama ilivyokuwa kwa jukwaa la Liverpool enzi hizo?

We will try our best to make sure that wenye jukwaa hawaingii mitini kiana even if is to post nonsense.

Man Utd ni taifa kubwa bana lakini recently mashabiki wake wanaopost hapa mara kwa mara wanahesabika.

Tunataka warudi. Tunataka jukwaa liwe active kama ilivyokuwa zamani. We need Falcao to shine as well.
 
Argentina vs germany... half time argentina anaongoza 2-0,goli zote mbili zimekua assisted na Di Maria
 
Di Maria 4 Argentina goals Assist katoa 3 kafunga na yeye moja na upande wa pili Rooney kafunga for England
 
(Argentina) #DiMaria na ndugu yake #Rojo wameondoka na ushindi wao wa goli 4-2 dhidi ya Ujerumani huku (England) #Rooney na ndugu yake #Jones wakiondoka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Norway..!!
******

Hivi zile assist 3 tena dhidi ya Ujerumani + goli moja, LVG akimtumia vizuri na hao QPR hivi hazitafika hata tisa kweli??
"Tutishe mpaka #WakaangaSumu waogope hadi hili Jukwaa"


#GGMU
 
(argentina) #dimaria na ndugu yake #rojo wameondoka na ushindi wao wa goli 4-2 dhidi ya ujerumani huku (england) #rooney na ndugu yake #jones wakiondoka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya norway..!!
******

hivi zile assist 3 tena dhidi ya ujerumani + goli moja, lvg akimtumia vizuri na hao qpr hivi hazitafika hata tisa kweli??
"tutishe mpaka #wakaangasumu waogope hadi hili jukwaa"


#ggmu

'theatre of dreams.'
 
duh kijana mapenzi kwa man utd hayajaisha bado....ana 29 sasa hivi hii habari kuwa atarudi man utd ina maana atarudi kibabu kama drogba!!


[h=1]Transfer news: Cristiano Ronaldo plans return to Manchester United[/h] Last Updated: 04/09/14 8:13am





0




Ronaldocelebrates_3112856.jpg


Cristiano Ronaldo: Open to Old Trafford return at some stage




Cristiano Ronaldo is 'happy' at Real Madrid but admits that returning to Manchester United is part of his plans for the future.
The current holder of the prestigious Ballon d'Or is tied to a long-term contract at Santiago Bernabeu and has every intention of honouring that agreement.
Talk of a second spell at Old Trafford refuses to go away, though, with Ronaldo's profile having rocketed during six successful years in England between 2003 and 2009.
cristiano-ronaldo-manchester-united-premier-league-trophy_3181873.jpg

"Everyone knows that – I have said it many times. Manchester is in my heart. I left many good friends there, the supporters are amazing and I wish I can come back one day."
Cristiano Ronaldo



That stint delivered eight major trophies, including three Premier League titles and a UEFA Champions League crown.
Ronaldo has never sought to hide his affection for United since packing his bags for Spain and maintains that an emotional homecoming is a distinct possibility.
The 29-year-old forward told the Daily Mail: "I love Manchester.
"Everyone knows that – I have said it many times. Manchester is in my heart. I left many good friends there, the supporters are amazing and I wish I can come back one day.
"I am happy here in Real Madrid and have four more years, but in the future you never know because they treated me unbelievably there.
[h=3]Player Profile[/h]
[h=3]7. Cristiano Ronaldo[/h]
  • Appearances 6 (1)
  • Goals 4
  • Assists 1
  • Yellows 1
  • Reds 0
  • Current Season



"I really did love being at Manchester United.
"Believe me, they will be a good team again. I'm sure of it. It is a great club."
United have endured their struggles of late, with Sir Alex Ferguson's retirement having left a gaping hole at the heart of the club that is yet to be suitably filled.
Ronaldo is, however, convinced that better times lie ahead, with new boss Louis van Gaal having spent big over the summer to bring exciting match-winning talent to the Theatre of Dreams.






"This can happen. Bad moments and good moments," said Ronaldo.
"Manchester is passing through a bad moment. Last year it was a horrible season and this year they haven't started well either.
"But I do think they did well to buy (Angel) Di Maria and (Radamel) Falcao. I think the team will be much better. I want to see them better because it is such a fantastic club and they deserve to be better.
"Falcao is a very good signing. He is a very good player."
 
keliiii kabisaa bt tangia falcao na blind wafikee naona mbwembwe zimepungua kwenye hii thread afu wanaboa kinouma nouma unakuta limtu ka tahila vle linafika na kuanza kupost mapicha ya ajabu ajabu inakeraaaaaaaaaaaaaaaaa:A S-cry:

mapicha ya ajabu kama avatar ya Frank G?

acheni hizo..:A S-eek:
 
:amen:
Kikosi kinaendelea kukamilika kwani habari zingine nzuri ni kuwa Marco Rojo amekamilisha taratibu zote za yeye kuweza kufanya kazi Uingereza na leo Alhamisi amekabidhiwa Visa yake hivyo Tarehe 14 atakuwembo dimbani OT kukipiga na QPR....

#GGMU
#WakaangaSumuWote Nimemaliza kwa sasa


1409841473352_wps_1_image001_png.jpg

Source
Daily Mail & @ManUTD

Code:
GGMU
Code:
WakaangaSumuWote
😛eace:
 
[h=1]Premier League: Manchester United's Marcos Rojo cleared to make debut against QPR[/h] Last Updated: 04/09/14 10:13pm





15





club-marcos-rojo-manchester-united_3193395.jpg


Marcos Rojo: Manchester United defender has been granted a work permit




Manchester United defender Marcos Rojo has been cleared to make his debut against QPR after finally receiving a work permit.
"The UK Border Agency has agreed to grant #mufc defender MarcosRojo5 a visa and he will therefore be available to face QPR on 14 September," an official United statement said on social media.
210.png

v
411.png



[h=4]Live Ford Super Sunday[/h] [h=3]Man Utd vs QPR[/h] September 14, 2014, 3:30pm



The 24-year-old signed for the club from Sporting Lisbon for £16m last month, but has been unavailable to play until the permit was granted.
Rojo qualified automatically by virtue of having played in more than 75 per cent of Argentina's competitive internationals over the last two years, including the World Cup final against Germany in July.
He is likely to feature in United's next clash against the R's at Old Trafford, with Louis van Gaal's side still searching for their first Premier League win of the season.
The defender has kept himself fit while waiting to get the go-ahead to play for his new club and featured for the South Americans in their 4-2 friendly win against Germany in Dusseldorf on Wednesday night.
 
Marcos Rojo: My life has changed a lot. I am very happy to be at Manchester United , a top team in the world, sharing a dressing room with players like Rooney, Van Persie, Di María and now Falcao.”
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
[h=1]United squad list confirmed[/h]
[h=2]The Premier League has confirmed Manchester United's official squad lists for the 2014/15 season following the closure of the transfer window.[/h]The 24-man senior list is not definitive in terms of those available for selection as players can also be nominated from the Under-21 roster. This includes, for instance, Tyler Blackett, Adnan Januzaj, Luke Shaw and James Wilson. The Under-21 players must have been born on or after 1 January 1993.
Additional changes to the senior squad can only be made during transfer window periods but loans will be permitted to lower division clubs.
The requirement is for no more than 17 players who do not fulfil the homegrown player criteria. A homegrown player is deemed to be somebody who has been registered with any club affiliated to the English or Welsh FA for a period, continuous or not, of three entire seasons or 36 months before his 21st birthday - or the end of the season during which he turns 21.


United (* = homegrown): Ben Amos*, David De Gea, Anders Lindegaard; Jonny Evans*, Phil Jones*, Rafael*, Marcos Rojo, Chris Smalling*, Marnick Vermijl*; Anderson, Daley Blind, Michael Carrick*, Angel Di Maria, Marouane Fellaini, Darren Fletcher*, Ander Herrera, Jesse Lingard*, Juan Mata, Davide Petrucci*, Antonio Valencia, Ashley Young*; Radamel Falcao, Wayne Rooney*, Robin van Persie.

Under-21 players (contract and scholars): Oliver Byrne, Joel Castro Pereira, George Dorrington, Dean Henderson, Sam Johnstone, Kieran O'Hara; Tyler Blackett, Cameron Borthwick-Jackson, Jimmy Dunne, Callum Evans, Liam Grimshaw, Reece James, Saidy Janko, Mike Keane (on loan at Burnley), Donald Love, Ryan McConnell, Paddy McNair, Guillermo Varela (on loan to Real Madrid), Tyler Reid, Charlie Scott, Luke Shaw, Tom Thorpe, Axel Tuanzebe; Sean Goss, Josh Harrop, Adnan Januzaj, Travis Johnson, Ben Pearson, Andreas Pereira, Regan Poole (work experience from Newport County), Scott McTominay, Nick Powell (on loan at Leicester), Devonte Redmond, Joe Riley, Joe Rothwell, Jordan Thompson, James Weir, Matty Willock; Ruairi Croskery, Ashley Fletcher, Angelo Henriquez (on loan at Dyamo Zagreb), Will Keane, Demetri Mitchell, Marcus Rashford, James Wilson.
 
Back
Top Bottom